Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

Better but ongezeni Kasi ya ugomboaji na punguzeni kubambika charges hata kwa mizigo iliyogombolewa on time

Otherwise mko vizuri
 
kazi mnapeana kindugu boss. Rudini kwenu mkafanye kilimo cha tende.
 
Mabadiliko niliyoyaona kwa kweli mizigo kutoka haraka ni kweli na ndiyo maana ikifika Ijumaa na jumamosi njia ya bandarini jioni haifai kupita kwa swatu wa kigamboni.Malori yanakuwa mengi mno jioni kupakia mizigo. Na jumatatu asubuhi pia kuingia geti la Bandarini unakuta malori mengi. Napongeza kwa sasa utoaji wa mizigo kweli umeongezeka muda umekuwa ni mdogo. Ushauri kwa Serikali ile bandari kavu Vigwaza wangeanza nayo kupeleka mizigo ya mikoani na ya nchi jirani kwa kutumia treni ili kupunguza msongamano wa malori mjini hasa kwa wenzetu wanaoishi kigamboni,Kurasini,Temeke,Tandika na Mbagala au lile balaa la Buguruni mpaka Kibaha.
 
Vipi kuhusu gharama za huduma?
 
Wamekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…