Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio?

Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka?

By Boss la DP World aka boss la makobazi.

Hata bei ya mafuta imeshuka kwa kiwango kikubwa kwa mara ya kwanza, ni faida kwa Watanzania wote.
 
Hata bei ya mafuta imeshuka kwa kiwango kikubwa kwa mara ya kwanza, ni faida kwa Watanzania wote.
Uchawa kazi sana aisee
Unasema bei imeshuka kwa mara ya Kwanza wakati 2020 hapo tulikuwa tunanunua kwa 2100 kwa lita?
 
Bosi la bosi hahaha
Vipi maslahi Kwa wafanyakazi wenu?
 
Back
Top Bottom