Mara nyingi Watanzania wana mazoea ya kuwatuhumu Wakenya kwa mambo ya utapeli, lakini ni wachache sana hutafakari na kujielekeza vidole vya lawama. Tuliona taarifa za utapeli uliotendeka kwenye hela za wahanga wa tetemeko la ardhi. Juzi hapa tumeona sakata la vyeti feki la kutisha.
Leo hii taarifa zimeanza kuibuka kuhusu utafunwaji wa hela zilizochangwa juzi kwa ajili ya familia za watoto waliopoteza maisha kwenye ajali ya kutisha. Hadi Wakenya walikuja Tanzania kuchanga hela akiwemo waziri wetu wa elimu.
Hivyo mnapoelekeza vidole vya lawama kwa Wakenya, muwe mnajiangalia pia maana mna uozo wa kiajabu nyie...
[/MEDIA]
Hahahaha! Upuku- what!!!!!!!MK254 sasa huu ni upukunyuku kwenye nyumba ya jirani yako jirani.
MK254 sasa huu ni upukunyuku kwenye nyumba ya jirani yako jirani.
Miss NatafutaHehehe! Kuna yule Miss Natafuta alilalamika sana kwamba Wakenya waliiba chupi zake baada ya kuzianika nje, sasa imebidi kumuonyesha picha ovyo ya ndugu zake wanaiba pesa za msiba wa watoto bila huruma wala kupepesa macho.
Mara nyingi Watanzania wana mazoea ya kuwatuhumu Wakenya kwa mambo ya utapeli, lakini ni wachache sana hutafakari na kujielekeza vidole vya lawama. Tuliona taarifa za utapeli uliotendeka kwenye hela za wahanga wa tetemeko la ardhi. Juzi hapa tumeona sakata la vyeti feki la kutisha.
Leo hii taarifa zimeanza kuibuka kuhusu utafunwaji wa hela zilizochangwa juzi kwa ajili ya familia za watoto waliopoteza maisha kwenye ajali ya kutisha. Hadi Wakenya walikuja Tanzania kuchanga hela akiwemo waziri wetu wa elimu.
Hivyo mnapoelekeza vidole vya lawama kwa Wakenya, muwe mnajiangalia pia maana mna uozo wa kiajabu nyie...
Eish! Mara ni wakenya wanachafua choo, kuiba chupi tena?Hehehe! Kuna yule Miss Natafuta alilalamika sana kwamba Wakenya waliiba chupi zake baada ya kuzianika nje, sasa imebidi kumuonyesha picha ovyo ya ndugu zake wanaiba pesa za msiba wa watoto bila huruma wala kupepesa macho.
tuache kuchagua majambazi ccm.Kwa hiyo ujumbe wako ni upi sasa?
MOTOCHINI, si ulikuwa ukiteta juu ya hili.
Millard Ayo sio channel ya habari ya kigushi.