Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ni kweli niliibiwa nguo zangu na wakenyaMiss Natafuta
Unahitajika huku shost
MK254 ana salamu zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli niliibiwa nguo zangu na wakenyaMiss Natafuta
Unahitajika huku shost
MK254 ana salamu zako.
nenda polisi ukashtaki au ukawaibie pia..ni kweli niliibiwa nguo zangu na wakenya
hali vipi bwana govi?Lazima kuna mkenya amemshawishi
Una haki ya kuuliza lakini mbona habari ipo kwenye Jukwaa la Kenya, kwani inahusu Kenya hii, au ndio yale mambo yenu ya battle kati ya Tanzania na Kenya? Ungeiweka kwenye jukwaa la Habari Mchanganyiko ingependeza zaidi...
aisee venye umejibeba kwenye avatar yako ni aibu sana kuanika chupi zako nje ya nyumba. kuwa na ustaarabu.ni kweli niliibiwa nguo zangu na wakenya
Nonsense!...Ipo kwa Wakenya ili kuwaonyesha jinsi mlivyo majizi yasiokuwa na huruma.