Waambie waswahili wenzako maisha ya Canada yalivyokuwa matamu.Nenda tu, ulizuwiliwa?
Ni mipango Marekani unaweza fanya kazi kiangazi.....halafu wakati wa baridi unachukua pipa mpaka kipawa....hivyo basi kwa kuwa fedha yao ina nguvu waweza wekeza umatumbini.....Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.
View attachment 3035626View attachment 3035627
Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho
View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7
Hebu kuwa muwazi Tanzania ulirudi na dola ngapi?Ndugu yangu dola $1000 usd pale haitoshi, nimepata maendeleo makubwa sana baada ya kurudi Tanzania ningebaki kule hata meter ya umeme nisingekuwa nayo
Nilanza kujitambua baada ya kugundua naishi kwenye banda la mbao wakati Bongo ni mabanda ya kufugiaHebu kuwa muwazi Tanzania ulirudi na dola ngapi?
Mkuu yote unayoongea uko sahihi ila watakaokuelewa ni wachache sana.Asee tuwe serious Chris Brown anadaiwa mkopo naona ndo utamuua, ile nchi isikie kwenye Tv gusa unase. Mm nayosema hapa sio kichaa nimeishi pale muda mrefu na nimeondoka baada ya kugundua kwa Mwaka ile nchi inanichukulia 30M, pale nmeishi kwenye single room lakini kumbuka kwa mwaka 30M zilikatika sana natoka pale narudi Bongo nimejenga na usafiri nikapata wenzangu waliobakia pale bado wanazidi kumfanyia Biden kazi, kumbuka ile nchi imetengeneza mfumo wa mwananchi kuwa mtumwa wa Serikali ndio maana uchumi wao unashikiliwa na Serikali sio wananchi, huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye mikono ya Serikali ya Marekani kumbuka wale ni wakoloni tangu zamani, sasa hivi wanafanya ukoloni kwa akili mfano kumnyima mwananchi kumiliki assets ili aishi kama mbumbumbu
Bongo 80% ya miji yetu ni SquatterWewe kwenye maisha yako kumiliki nyumba ndio umeona utajiri?
Ukiwa na hela ukapanga masaki au ujenge nyumba tabata vinafanana?
💯Mkuu yote unayoongea uko sahihi ila watakaokuelewa ni wachache sana.
Wabongo huwa hawapendi kuambiwa ukweli huwa wanapenda kudanganywa ukiwaambia ukweli unageuka adui na kuonekana kama unawabania ridhiki.
Nchi zote za ughaibuni ndio ziko hivyo kuna mfumo wanautengeneza kuhakikisha pesa zote wanazokulipa zinabaki kwao.
Hata kama utatoboa ukipiga mahesabu nguvu na muda ulizotumia hata kama ungebaki bongo na kutumia nguvu,akili,ubunifu uleule ambao umeutumia ukiwa ughaibuni Bongo ungefanikiwa zaidi.
Ndio maana watu wenye upeo wa kufikiria mbali zaidi hawakai ughaibuni muda mrefu sana lazima arudi Bongo kuwekeza miradi na kuisimamia labda kinachomsaidia mtu aliyeishi ughaibuni ni kupata exposure na kujifunza vitu vipya ambavyo anakuja kuviapply Bongo.
Ughaibuni hata ukitaka kuanzisha Biashara ya mgahawa hizo kodi zake utakazopewa unaweza ukazimia,yaani utapewa kodi ambazo kwa Bongo hizo kodi ni za kulipia mtu anayemiliki kiwanda.
Sema tukiwa Bongo kinachotuponza tusifanikiwe ni kuishi kwa kubweteka na mazoea tunalala masaa 12 hadi 14 wakati ukiwa ulaya au marekani utalala masaa 6 tu bila kufundishwa na mtu.
Unalipia kodi kwa sababu ni justified , wewe unachukua picha ya migahawa ya hapa Bongo aka mama nitilie ndio ulinganishe na standards na income za migahawa ya london au Newyork ?Mkuu yote unayoongea uko sahihi ila watakaokuelewa ni wachache sana.
Wabongo huwa hawapendi kuambiwa ukweli huwa wanapenda kudanganywa ukiwaambia ukweli unageuka adui na kuonekana kama unawabania ridhiki.
Nchi zote za ughaibuni ndio ziko hivyo kuna mfumo wanautengeneza kuhakikisha pesa zote wanazokulipa zinabaki kwao.
Hata kama utatoboa ukipiga mahesabu nguvu na muda ulizotumia hata kama ungebaki bongo na kutumia nguvu,akili,ubunifu uleule ambao umeutumia ukiwa ughaibuni Bongo ungefanikiwa zaidi.
Ndio maana watu wenye upeo wa kufikiria mbali zaidi hawakai ughaibuni muda mrefu sana lazima arudi Bongo kuwekeza miradi na kuisimamia labda kinachomsaidia mtu aliyeishi ughaibuni ni kupata exposure na kujifunza vitu vipya ambavyo anakuja kuviapply Bongo.
Ughaibuni hata ukitaka kuanzisha Biashara ya mgahawa hizo kodi zake utakazopewa unaweza ukazimia,yaani utapewa kodi ambazo kwa Bongo hizo kodi ni za kulipia mtu anayemiliki kiwanda.
Sema tukiwa Bongo kinachotuponza tusifanikiwe ni kuishi kwa kubweteka na mazoea tunalala masaa 12 hadi 14 wakati ukiwa ulaya au marekani utalala masaa 6 tu bila kufundishwa na mtu.
Eti dollar 5000 ,we Una akili nzuri kweli wewe ?Nilanza kujitambua baada ya kugundua naishi kwenye banda la mbao wakati Bongo ni mabanda ya kufugia
Chumba hata kitanda cha 6x6 hakiingii. Rafiki yangu wa Mbezi beach akanambia bro umepotea acha ujinga rudi bongo utafia huko ukiishi kwenye mabanda ya mbao na utazeeka huna chako angalia sisi hapa Bongo nyumba zetu tumeshajenga wewe yako iko wapi??
Asee nilipata kichaa nikarudi fasta akanambia twende Goba tuchukue kiwanja kama huezi sema ukweli nikusuppot tukachukua kiwanja akanambia chukua vihela vyote ulivyopata kule anza ujenzi
Nikaanza ujenzi mpaka nimemaliza sasa hivi namalizia paving
Akanambia angalia sasa ungefia kule kwenye mabanda kama ni bata nenda hapo Mliman City huduma zote zipo
Kumbuka huyu rafiki yangu yeye amenizidi sana pesa yao nyingi wamepata hapa Tanzania mana wana kampuni ya ujenzi baba yake alipata kazi kampuni ya Siemens miaka hiyo na familia yake walikua wakiishi Malibu baabdaye mzee akawambia turudi Bongo nimeanza kuzeeka hata nyumba sina hapa zaidi ya kulipa kodi na uzee wangu wote huu hela zote nilizopata Siemens zimeishia kuwatunza ninyi ndipo wakachukua uamuzi wa kurudi huku, wakakopa bank na kufungua kampuni ya ujenzi pesa kwao zikaanza kumwagika. Yule mzee mpaka sasa anajuta kupoteza ujana wake kule ananambia laiti angejua mpaka sasa angekuwa trilionea hapahapa Tanzania
Pesa kwao ni chafu na wamezipata hapa sio zile za Siemens na kila wakati yule mzee ananambia Kikwete hashindwi kuishi nchi yeyote hapa duniani ukiondoa Tanzania hizo nyingine zote ni utumwani utamu upo Tanzania.
Nenda Dodoma uoneshwe Mh Ndugai anavolima zabibu angalao hata kichwa chako kipate moto mana ulipokuwa kule ujinga mwingi ulikufumba ufahamu
Hapo nikapata ufahamu mkubwa, wale niliowaacha kule huwa nawajaribu kila wakati kwa kuwambia wanitumie $5000usd mpaka sasa wamegonga mwamba hata cent situmiwi
Dadadek chezea USA wewe 🤣
Unaishi Goba ni sawa na manzese tu mji hauna hata planNilanza kujitambua baada ya kugundua naishi kwenye banda la mbao wakati Bongo ni mabanda ya kufugia

Tulia dawa iingie ukipiga kelele hivi itapungua nguvu. Mmarekani hanambii kitu yule ni mchumba tu nenda kamfanyie kazi utuachie Tanzania itupe neema za duniaEti dollar 5000 ,we Una akili nzuri kweli wewe ?
Wewe kwa nini hujawatumia hiyo dollar ,5000$ ili tuone umwamba wako na uchumi mzuri uliopo hii nchi ?
Hiyo dollar 5000$ uliwakopesha mpaka wakupe ?
Yaani unaleta upuuzi wako wa kiswahili kwenye lifestyles za watu ?
Kwa taarifa yako hata angekuwa ni Bill gates au Jeff Bezos ungemuomba dollar hata 100 na ujinga wako huo asingekupa , sana sana ungepigwa vibao na matusi .
Maisha abroad yamebase kwenye self reliance na si kusubiri kubebwa bebwa kuvizia Kitonga kama fala flani hivi .
Hii ni cultural thing , mtu hawezi tu akakutumia pesa kwa sababu za kipumbavu ,matumizi ya pesa ni lazima yawe justified .
Ulishakaa na wazungu au mtu yoyote toka nje Europe , America na hata Asia ukaona wanavyoishi wewe ?
Unaleta ule ujinga na ushamba wa kibongo kutembeza mabakuli kama Matonya
Wewe watu wajipinde wamenyeke kusaka pesa ,waje wakutumie tu wewe from nowhere .
We ni mwehu .
Hivi unajua nchi kama Kenya ,Nigeria , India nk ,remittance ya diaspora walioko nje wanatuma kiasi gani kwa mwaka ?
Na ina changia asilimia ngapi ya GDP ya hizo nchi + Technological and expertise transfer inayofanyika kupitia hizo diaspora za watu ambao wako Marekani na ulaya ?
Nakupa homework , katafiti halafu rudi hapa kuandika ujinga wako huu
Umeshamaliza kuhara?Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.
View attachment 3035626View attachment 3035627
Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho
View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7
Huo ukiwanda ndio wakutusumbua sisi Wabongo yanyoko kwanza kabisa nataka hicho kiwanda chao kimzidi MO na Bakhresa ndo tujadili huo ukiwanda wao wa chupi
View: https://youtu.be/xdFixymfttc?si=wJiQCiGsbWbDGkJK
Pita hapo uone hao wakenya walipotokea mpaka kuja kumiliki hicho kiwanda cha kuzalisha spare parts Kwa kampuni kubwa kama Marcedes ,VW nk hapo Kansas , Marekani
Hii channel kuna success stories lundo Tu
Kama wakenya wanafanikisha hivi tena kwa sekta competitive pale Marekani kama health care , technology nk ,tena wametoka maisha mabovu kabisa ya umasikini uliotopea kwenye familia zao pale Kenya ,kwanini wewe ushindwe ?
Mimi ndoto ya kufika nchi ile ikinidondokea hata sasa hivi ,wala sitafikiri mara mbili
Bongo lazima ubanduliwe utapewa tu hiyo dollar 5000.Nilanza kujitambua baada ya kugundua naishi kwenye banda la mbao wakati Bongo ni mabanda ya kufugia