Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Goba unaijua kweli wewe au wewe ndo wale mnaenda kuzeekea kwenye mabanda ya mbao kwa Biden. Mwambie Biden kwetu yale ni mabanda ya kuku
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€wanasikia raha kushangaashangaa magorofa ya city centre na kupiga picha jioni wanakwenda kujilaza kwenye banda za mbao
 
Wewe ni mwehu , yaani sehemu ya ovyo, watu mnajenga mabanda kwenye Makorongo mule kuishi kama ngedere Goba nayo ndio sehemu ya kujivunia ile ?
Walah nakuapia sitowahi kuitukana nchi yangu Tanzania utamu wa hii nchi aujuwaye mchina, ninyi mmejisahau sana sijui mmelogewa wapi
 
Miaka 7 nikimfanyia yule mchumba kazi. Biden na mwenzake Trup wakitafuna hela yangu taratibu. Wale ni wachumba, lile Taifa lao wote walaini laini wachumba tu wale wala wasiwachanganye
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€wanasikia raha kushangaashangaa magorofa ya city centre na kupiga picha jioni wanakwenda kujilaza kwenye banda za mbao
Pale mtu akianza ujenzi wake utaona kitu kama hiki
Huku kwetu Africa sisi haya ni mabanda ya kuku
 
Pale mtu akianza ujenzi wake utaona kitu kama hiki
Huku kwetu Africa sisi haya ni mabanda ya kuku
View attachment 3038051View attachment 3038052
Hivi mzee upekosa kazi ya kufanya yaani unaandika kabisa thread ya kuiponda USA aisee hii Kali yaani tanzania nzima inanuka Mavi ndio ufananishe na USA 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…