Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Mm nimewahi kufika Marekani ktk bandari za Houston (TX),New Orleans (Louisiana),Mobile (Alabama) na Miami (FL).
Makuli tu wa bandari ambao wanakuja melini kufanya container lashing wengi wao wapo vizuri kiuchumi,
Makuli waliochoka wengi nimewaona Mobile (Alabama),nadhani wamechoka kwa sababu wengi wao ni masela kwa sana!
 
Ushoga na Usagaji unalindwa sana USA kwasababu wale watu wanaishi maisha magumu na Matajiri wengi USA wanakojolea wengi mpaka jinsia zao kwasababu ya umaskini
Hapa bongo na usagaji hupo high sana mwaka 2016 nilipata kazi ya research flan aisee ushoga mwingi mno hapo kinondoni inaongoza Kwa DSM hapo sasa unaenda mbali kusema USA unasahau nyumbani alafu ni mambo person haya na malezi ya watoto
 
Ndugu yangu dola $1000 usd pale haitoshi, nimepata maendeleo makubwa sana baada ya kurudi Tanzania ningebaki kule hata meter ya umeme nisingekuwa nayo
Kumiliki meter ya maji au umeme inakusaidia nini? Ili hali hauna hata ada ya watoto wako au mlo tu mmoja unakupiga chenga.
 
Hivi watz wote apo na nyumba zao au wamepanga
 
Hata Ulaya. Izi nchi ni majengo tu na miundombinu ila most ni mshahara wote kodi, rent na matumizi yote inaisha na kununua au kujenga nyumba kwa asilimia 80% ni ndoto kama kwenda Mars
 
Yaani ulinganishe ugumu wa maisha Tz na States , utakuwa taahira wa karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…