Mwanzoni wote huwa hivyo, wanataka kujitofautisha na Utawala uliopita, ushauri wangu, usidanganywe sana na maneno angalia matendo zaidi, hapa Tanzania maneno mangapi matamu yalisemwa na Utawala ulivyoingia? Leo hii angalia matendo yake, maji hakuna, umeme hakuna, bei zimepanda, tozo, Internet kampuni zinafanya zinavyotakana hakuna yoyote anayewajibishwa maana yake ni kwamba utawala wenyewe umetaka hali iwe hivyo, hivyo next time angalia matendo zaidi, wape muda hao akina Ruto halafu utakuja kuona, usisikilize maneno bali angalia matendo!