PreGE2025 Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt na baiskeli hawezi kuwa kiongozi bora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .

Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.

Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
 
Wanafanya mambo kishamba sana!
 
Mbona sisi tumesema No Reform No Election sasa hao unaowasema ni uchaguzi upi tusiwachague?
 
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .

Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.

Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Sasa mbona hautuambii mbadala wa huyo anaegawa pesa, tshet na baiskeli?
 
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .

Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.

Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Kwanza hiyo ni Rushwa
 
Imagine mtu anagawa baisikeli, Piki piki mwaka wa Uchaguzi. Bad inough zina nembo na marangi makubwa ya Chama.

Hizi ni dharau sana, Mbona wao magari yao hawajapaka hayo marangi rangi
 
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .

Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.

Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Wamekusikia. Subiri majibu October
 
Mwaka, mzima, navaa masempele, sasa napata kenge mmoja, ananipa li shati la ccm, nisichukue!?
Maana, hatanisipochukua hawa kenge wakifika huko serikali ni, bungeni, hawatanifanyia kitu, watafanya kile ikulu itakachowaambia,
 
View: https://www.facebook.com/share/v/16Ut9Ev77x/
 
Mwaka, mzima, navaa masempele, sasa napata kenge mmoja, ananipa li shati la ccm, nisichukue!?
Maana, hatanisipochukua hawa kenge wakifika huko serikali ni, bungeni, hawatanifanyia kitu, watafanya kile ikulu itakachowaambia,
Hata wakikupa ugoro wewe chukua tu lakini #NoreformsNoelection.
 
Back
Top Bottom