Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Wanafanya mambo kishamba sana!Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Mbona sisi tumesema No Reform No Election sasa hao unaowasema ni uchaguzi upi tusiwachague?Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Sasa mbona hautuambii mbadala wa huyo anaegawa pesa, tshet na baiskeli?Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Noreforms No ELECTION na wananchi wasimchague samia hata baada ya reformsMbona sisi tumesema No Reform No Election sasa hao unaowasema ni uchaguzi upi tusiwachague?
Anhaa hapo sawa kumbe baada ya reforms, watajichuja wenyeweNoreforms No ELECTION na wananchi wasimchague samia hata baada ya reforms
Kwanza hiyo ni RushwaWatanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Wamekusikia. Subiri majibu OctoberWatanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Mwaka, mzima, navaa masempele, sasa napata kenge mmoja, ananipa li shati la ccm, nisichukue!?Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
https://www.facebook.com/Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai na wana tudhalilisha sisi kama taifa nilisema hawana akili.
Ni aibu mgombea wa urais kufanya siasa za namna hii badala ya hoja na maono inaonekana uwezo wako mdogo sana na unatuaibisha watanzania haya mambo yapo tu bongo inasikitisha sana.
Hata wakikupa ugoro wewe chukua tu lakini #NoreformsNoelection.Mwaka, mzima, navaa masempele, sasa napata kenge mmoja, ananipa li shati la ccm, nisichukue!?
Maana, hatanisipochukua hawa kenge wakifika huko serikali ni, bungeni, hawatanifanyia kitu, watafanya kile ikulu itakachowaambia,