Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

Umemsikia Spika amesema acheni kupotosha ripoti ya CAG. Ripoti imepelekwa kwenye Kamati ya Bunge kupitiwa kama taratibu za Bunge zinavyosema na Wizara na Taasisi za Serikali zitapata muda wa kuwakirisha ushahidi wao kabla ya kujadiriwa Bungeni na kutolewa uamuzi na ushauri kwa serikali kuhusiana na audit queries ambazo wahusika watashindwa kutoa majibu yanayojitoshereza.
 
Exactly mi nashangaa wanavyoshabikia. Halafu hata kama kuna ubadhilifu maafisa wahusika si wapo. Yaani huu mpango wa Hovyo kabnisa wa kumchafua Hayati Magufuli hawataweza hata kidogo. Sisis wanyomge tuko wengi Team masfisadi wako wachache. Hawawezi kutushinda hata kidogho.
 
CAG hufanya exit meeting baada ya ukaguzi ambapo hoja hujibiwa kishwa Management letter hutolewa ili majibu yatolewe kwa maandishi. Kiuhalisia Auditors huwa hawafuti hoja zote vinginevyo ingeonekana hawana kazi waliyofanya. Baada ya report yao kutolewa public,Management hutoa majibu na kisha hufuta baadhi ya hoja kwenye kaguzi zinazofuata kwa kigezo kuwa zimetekelezwa
 
Ninavyojua mimi, audit queries huwa wanapewa hao walifanyiwa ukaguzi, ili wazijibie kabla ya final report.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…