Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

Ass! Utamkumbuka sana Hayati Magufuli alikunyoosha kwelikweli mpaka unaingia kaburini utakuwa unamkumbuka tuuu!! Chezea Rais Magufuli wewe!! Hacheki na wizi na wauza madawa ya kulevya na mbaya zaidi Rais Mama Samia naye amesema Kazi Inaendelea sasa sijui utakimbilia wapi!!
Magufuli alikuwa fisadi,asante sana CAG kwa kumuanika officially!
 
Mleta mada naomba nitofautiane na wewe kidogo

Kikawaida auditor huwa anakagua na kabla hajafunga ukaguzi wake anawatumia wahusika management letter ili wajibu hoja zote ambazo auditor amezitoa ikiwemo kutoa vidhibiti..risiti au uthibitisho wa hoja yoyote ambayo wahusika wanadhani ushahidi upo au kulikuwa kuna namna nyingine ya kukabiliana na hoja aliyoitoa auditor

Mbali na hapo pia kuna kitu kinaitwa exit meeting ambapo auditor hutoa majumuisho ya hoja zake kwa wahusika ili kama na wao wanahoja mbadala basi wanaziwasilisha

Mpaka hoja ikitokea kwenye report ya auditor maana yake haikupata majibu mujarabu kutoka kwa wahusika na katika mantiki hiyo kinachofuatia hapo sasa ni uchunguzi au mamlaka husika kuchukua hatua za kisheria au kinidhamu

Ndio maana kwenye baadhi ya maeneo auditor anashauri mamlaka husika kuchukua hatua kwa wahusika ikimaanisha walishindwa kwa namna moja ama nyengine kutoa ushahidi wa jambo ambalo auditor aliliibua kwamba liko kinyume na mahesabu
Mkuu asante kwa kuweka bayana process husika kwa mleta mada.

Ila nikukumbushe tu kuwa hawa watu siyo kwamba hawajui no, wanajua ila wapo makusudi kutaka kuinyesha kuwa hizo report haziwezi kukubaliwa na watanzania kisa wanaamini kuwa awamu ya 5 haiwezi kuwa na ufisadi.
 
Wenye akili kama zako ndiyo wanaweza amini hivyo. Lakini wenye ubongo unaofanyakazi vizuri na wanajua kuichambua Audit Query Report ya CAG wanajua kuwa queries hizo baada ya muda zitapata majibu sahihi toka Wizara na Taasisi zinazohusika then utarudi tena hapa na mapovu yako you ass!
 
Hivi unajua kwa nini inapelekwa kwenye Kamati ya Bunge? Na inafanyiwa kazi na Kamati hiyo kivipi?
 
Mleta mada naomba nitofautiane na wewe kidogo

Kikawaida auditor huwa anakagua na kabla hajafunga ukaguzi wake anawatumia wahusika management letter ili wajibu hoja zote ambazo auditor amezitoa ikiwemo kutoa vidhibiti..risiti au uthibitisho wa hoja yoyote ambayo wahusika wanadhani ushahidi upo au kulikuwa kuna namna nyingine ya kukabiliana na hoja aliyoitoa auditor

Mbali na hapo pia kuna kitu kinaitwa exit meeting ambapo auditor hutoa majumuisho ya hoja zake kwa wahusika ili kama na wao wanahoja mbadala basi wanaziwasilisha

Mpaka hoja ikitokea kwenye report ya auditor maana yake haikupata majibu mujarabu kutoka kwa wahusika na katika mantiki hiyo kinachofuatia hapo sasa ni uchunguzi au mamlaka husika kuchukua hatua za kisheria au kinidhamu

Ndio maana kwenye baadhi ya maeneo auditor anashauri mamlaka husika kuchukua hatua kwa wahusika ikimaanisha walishindwa kwa namna moja ama nyengine kutoa ushahidi wa jambo ambalo auditor aliliibua kwamba liko kinyume na mahesabu
Bado ripoti ya CAG inapelekwa kwenye Kamati ya Bunge ambako wahusika hupeleka ushahidi wao ndiyo maana kuna audit queries hufugwa na Kamati ya Bunge pia Kamati ya Bunge huweza kutoa muda zaidi kwa ajili ya kufunga query husika. Jaribuni kufuatilia Report za CAG za nyuma mtaona kuwa kuna Audit Queries nyingi zilifungwa baada ya kufikishwa kwenye Kamati ya Bunge.

Kama audit report ya CAG ikigundua kuna wizi mara moja huwa inapeleka Polisi na TAKUKURU kwa criminal investigation wala hasubiri kupeleka Bungeni. Kumbuka criminal investigations zinafanywa na Polisi na TAKUKURU tu na wala si CAG hivyo hawezi ku conclude kuwa kuna wizi bila kupeleka kwenye vyombo hivyo vinavyotambulika kisheria.
 
Wenye akili kama zako ndiyo wanaweza amini hivyo. Lakini wenye ubongo unaofanyakazi vizuri na wanajua kuichambua Audit Query Report ya CAG wanajua kuwa queries hizo baada ya muda zitapata majibu sahihi toka Wizara na Taasisi zinazohusika then utarudi tena hapa na mapovu yako you ass!
🖕🖕🖕
 
Ass! Utamkumbuka sana Hayati Magufuli alikunyoosha kwelikweli mpaka unaingia kaburini utakuwa unamkumbuka tuuu!! Chezea Rais Magufuli wewe!! Hacheki na wizi na wauza madawa ya kulevya na mbaya zaidi Rais Mama Samia naye amesema Kazi Inaendelea sasa sijui utakimbilia wapi!!
Sukuma Gang mlianza kumdis Mama,mumeona kawadharau na anazidi kuungwa mkono mnaanza kuufyata. Mtu wenu amekufa amekufa tu na siyo ajabu kwani sisi wote tutakufa. Mtu wenu mliyetegemea kumtanguliza ili atimize ndoto yenu ndiyo hivyo anapumulia mashine kila akikumbuka kuwa CAG ameweka kambi hapo BOT anatamani amfuate dhalim mwenzake.
 
Wenzio saiz tunafuraha labda wee msukule wa Magu
Nyumbu huwa anafurahia kila mara hata kama mwenzake analiwa na simba bado anaona kawaida tu kwa hiyo hatushangai wewe kufurahia kwa sababu hujitambui.
 
Hata ujibaraguze vip we msukule wa Magu,ukweli ni kwamba tuna furaha na Mama samia wetu,wee endelea kuabudu mzimu wa jiwe
 
Umehamia CCM siku hizi au unafikiri Mama Samia naye ni Saccos ya Chadema? Utopolo mkubwa!!
 
Utajijua we zombie la jiwe.Sis tupo busy na mama,wew endelea kuuliza maswali ya kitoto ukifikiri CCM ni mama yako
 
Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa yanahitajika.

Mfano mkaguzi anakagua juu ya manunuzi ya sare za jeshi la polisi, lazima aulizie risiti za manunuzi, usafiri na ikiwezekana aone hizo sare. Asipoziona hapo ndipo huibua hoja ambazo huhitaji majibu.

Kwa hiyo kama CAG ameibua Audit queries sio conclusion kuwa tayari kuna ufisadi. Maana lazima PAC au LAAC watafute majibu ya hizi hoja ili tujue ukweli wake.

Hivyo wanasiasa wapenda sifa kama Zitto wasitumie nafasi hii kupotosha umma kuwa tayari kuna ufisadi.

Mmesahau ishu ya tril 1.5 ambayo ilikuja kupata majibu? Mbona Assad hadi hii leo na hasira zake za kufukuzwa uCAG hajaikumbushia kama kweli zilipigwa.

Tusubiri majibu ya PAC ka LAAC.
Hizi ni hoja mbazo zimeibuliwa na pia zikafanyiwa uchunguzi, na kisha kupatikana majibu (ndio wanaita REAL TIME AUDITING) kama sikosei. Hakuna tena majibu ya hoja zaidi ya kufuata ushauri aliolekeza CAG.

Hebu ona mfano huu wa ubadhilifu uliofanyika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa kutopeleka benki kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 400. CAG amethibitisha kuwa zimetumiwa na watu binafsi na sio kuwa hajui kwa nini hazijapelekwa benki. Yaani maana yake haitegemewi kuwa yatakuja maelezo ya kwa nini fedha hazikupelekwa benki
Screen Shot 2021-04-12 at 8.49.42 AM.png
 
Bado ripoti ya CAG inapelekwa kwenye Kamati ya Bunge ambako wahusika hupeleka ushahidi wao ndiyo maana kuna audit queries hufugwa na Kamati ya Bunge pia Kamati ya Bunge huweza kutoa muda zaidi kwa ajili ya kufunga query husika. Jaribuni kufuatilia Report za CAG za nyuma mtaona kuwa kuna Audit Queries nyingi zilifungwa baada ya kufikishwa kwenye Kamati ya Bunge.

Kama audit report ya CAG ikigundua kuna wizi mara moja huwa inapeleka Polisi na TAKUKURU kwa criminal investigation wala hasubiri kupeleka Bungeni. Kumbuka criminal investigations zinafanywa na Polisi na TAKUKURU tu na wala si CAG hivyo hawezi ku conclude kuwa kuna wizi bila kupeleka kwenye vyombo hivyo vinavyotambulika kisheria.
CAG akisema ninashauri Mamlaka husika zifuatilie kujua kwa nini fedha husika haikutumika mahala hapa au zifuatilie kujua ni kwa nini vielelzo havikuwasilishwa, hapo ndio tunasema kuna hoja za ukaguzi zinazohitaji majibu. ila ripoti ya mwaka huu ni tofauti mkuu, ipo conclusive tayari, mjiandae tu kwenda nyavu.
 
Back
Top Bottom