Watanzania msiwe wajinga kuunga mkono mambo ya kijinga! Mtajuta huko mbele

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee.
Kuna watu wanaweka usahabiki kwenye utekaji sasa jamaa wanateka ovyo na kuuwa ovyo ovyo baada ya miaka miwili nchi hii itakuwaje! Pingine mambo ya ajabu. Makanisa yatafugwa, misikiti itafugwa na wanasiasa watafugwa mtabaki kama watoto wa shule
 
good
 
hadi watekwe wao ndio wataona ubaya wa utekaji. wakati huo huo wazanzibari wamekazana kuwa mama afanye lolote kabla rais mkristo hajaingia. hata sijajua wanampango gani.
 
imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Jamani tunaelekea pagumu hii mifumo ya kuimbia binadamu sifa na kumsifu akifanya ujinga tutajuta.Ni vyema tukatae kwa nguvu zote na Mungu atusaidie.
 
Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee.
Kuna watu wanaweka usahabiki kwenye utekaji sasa jamaa wanateka ovyo na kuuwa ovyo ovyo baada ya miaka miwili nchi hii itakuwaje! Pingine mambo ya ajabu. Makanisa yatafugwa, misikiti itafugwa na wanasiasa watafugwa mtabaki kama watoto wa shule
Huyu mama uongozi wake wa mikosi kuuwa binadamu kisa madaraka au kukosolewa ni ulimbukeni
 
Sasa kila mtu anasema kwa mahitimisho, ndio tuitane wajinga jamani. Huku tunaamini uhuru wa mawazo . Kila mtu aweke maoni yake tu. Watu wenyewe tuko humu na ID fake halafu tunahamasishana vurugu .
Mimi huwa nawatazama wa Tz kwa jicho li gine
1. Bwana yule mianzooo wakisema ni Vasco da gama, mtu dhaifu kazi kucheka cheka tu. Hapo ndipo Escrow, IPTl na aina zake vikazakiwa
2. Kikaja chuma kikapiga marufuka hata sherehe za kitchen party mwanzo mwanzo tu hela zote zipelekwe kwa shule au hosp, mara paap vunjavunja cherekozikazima kwa keyboard , mara shwaa huyu kanyamazishwa ,chuma hakitoki hata out yaani ukijichanganya unaliwa onthe spot the kwa media oooh uhuru wa kuongea umeminywaa na kweli hakuna stori mmtaani sijui na sera ipi wee nenda kazini vikao vya wazi off, chuma paap, vilioooooo na wengine sherehe kwa uchache hususan keyboard warriors.
3. Nchi ikafunguka mwaaaa , watu waaooh tuje ge pamoja dk 0 hakuna kukubaliana hatuwezi kukaa, No muafaka. Shwaaa, nywiii, mara huyu ni wa kihanzi asikii.na sasa ambo moto.
MAONI YANGU
1. Hatujui nini tunasimamia, tuna mihemko tu utaninuka leo na kunishangilia kesho mimi ni yule yule aliyekuwa dhaifu na Vasco kwa sasa ni icon ya mtu poa. Chuma sasa anaonekana afadhali tena alihujumiwa na kuzimwa. Hatujui kitu au hatupimi mambo ni mashabiki tu wa ambo ambayo hatuchunguzi.
2. Tunatumika na wanasiasa, uchawa sasa ni ajira japo sio rasmi lakini watu wanapata kipato naamini hawakatwi kodi, lkn sio hao tu watu wa makundi ya wanasiasa wako tayari kuharibu kama mtu wao akiguswa watahama kule na huko wanatembea na mtu wao inamaana wako kwenye payroll yake. Hili kundi halisikizi kitu kwa mwingine isipokuwa mtu wao.
3. Tunanunulika ndani na nje ili kutengeneza taharuki kugawanya watu iwe kwa nguvu au kwa hila tunapandikizwa kuvuruga na tunakubali kwa posho hizo au ulaji tunatenge eza taswira ya nje ya kuwa wapigania nchi wazalendo, wenye uchungu na rasilimali tunalinda amani isichezewe tuko tayari kudhalilisha utu wa mtu ila kwa ndani ni mamluki wa waliotutuma wa ndani au wa nje. Ukikaa ukatulia kuusoma huu mchezo utagundua kuna kundi ambalo ndio wananionyesha watetezi wetu katika awamu zote huibuka kutokea huko i.e weee chu guza tu utagundua kwanini hawa hutokea kule tu na sio mianzo tofauti? Huenda huko ndiko huandaliwa
4. Hatuna weledi kama raia tunazalisha watu wasio na weledi kutokea kwetu tusio na weledi halafu kuwa watoa maamuzi kwa niaba ya wasio na weledi wenzao. Maana kilngozi haongozi kwa mihemko wala kufanya maamuzi kwa mashinikizo ya kelele ila ukweli , tunaweza kunyoshea kidole walio juu lkn ukweli sisi ni sehemu ya walivyo ndivyo jamii tulivyo ukitaka kuamini angalia angalia tu mivurugano i ayotokea hata kwenye vikundi vyetu wakati tunasema nani awe nani, utajua kiwa siku huyu akiwa pale juu atafanya ovyo kuliko aliyeko leo
5. Watu wa dini waachane na kuwa wanasiasa maana hata waumini wao wako na dini tofauti hizi kitu hazichangamani kabisa hata maana ya Haki kiimani ni tofauti na ile ya kiserikali. Imani ya dhehebu moja ni tofauti ya dhehebu lingine .
6. Hatusituki tu ni Ukoloni kupitia mlango wa uani na Demokrasia ni ufunguo kuingilia ,hii game tuicheze kisayansi ili wale wanaoamini sisi ni nyani tuliondelea wanua kuwa wao pia ni bgedere kwa kufugwa tuwasikilize tukirudi nyumbani tucheze pamoja na kuambiana amekuambia nini yule ngedere wa kufugwa.
7. Vyombo vya usalama wasiwe wanasiasa washughulike na nchi ,raia na rasilima zake washughulike na mtu kama ni threat kwa chi,,raia na rasilimali zake huyo wale naye sambamba na kushughulika naye perpendicular(90°)

TUFANYEJE. Si lazima nguvu kubwa kutumika ambayo inaishia uharibifu wa mali na uhai wa watu. Mfano rahisi ni huu kama humtaki huyu usimpe kura yako. Akipata zero kabisa na akatangazwa kuwa mshindi na mifumo bado anajua hakubaliki
Pia tusidhalilishe mtu awe mdogo au kiongozi tusemane kwa heshima pasipo kutweza utu na hadhi yake hii sio tabia ya Kiafrika.

Kama uko onesided hutajua nimesema nini
 
Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee.
Kuna watu wanaweka usahabiki kwenye utekaji sasa jamaa wanateka ovyo na kuuwa ovyo ovyo baada ya miaka miwili nchi hii itakuwaje! Pingine mambo ya ajabu. Makanisa yatafugwa, misikiti itafugwa na wanasiasa watafugwa mtabaki kama watoto wa shule
Kuna watu wanaweka usahabiki kwenye utekaji sasa jamaa wanateka ovyo na kuuwa ovyo ovyo baada ya miaka miwili nchi hii itakuwaje! Pingine mambo ya ajabu. Makanisa yatafugwa, misikiti itafugwa na wanasiasa watafugwa mtabaki kama watoto wa shule
 
imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!

Hawana sababu yeyote ya kumuadhibu. Tatizo hapa ni wao ndiyo wanapigania maslahi yao kwanza.
 
Tunahisi nani amebaki, wanatuteka na wameingia kwa viongozi wa dini pia, nchi imekuwa kimya hamna wa kumkemea
 
Kesho litaibuka kanisa lingine kuungana na GWAJIMA sasa sijui atafunga makanisa mangapi...
Kwa vile ni mjinga ndiyo maana anaingizwa chaka Kwa kushauriwa Vibayaa
 
Back
Top Bottom