Watanzania msiweke pesa Benki

Jpm wetu hakuwahi kufanya hivyo, yeye alichumkua ma bilion ya majizi kufanya maendeleo.

Embu fikiria mtu unakatwa elfu 50 juu juu kweli?
 
Kwahiyo Benk wanaangalia sura [emoji276]mbona kwa wengine hakuna makato?
Inawezekana unakatwa kiwango kidogo ambacho si rahisi kustuka. Ila ukweli ni kwamba tangu tozo zianze, wanakata sana tu tofauti na hapo kabla
 
Aiseee!
Kwa namna fulani unaona kabisa serikali yenu haiwajali watu wake, na wala si utani they really don't give a fu*k care about us
 
Itabidi turudi kwenye vibubu sasa kama benki wamefikia hapo🤔🤔
 
Jpm wetu hakuwahi kufanya hivyo, yeye alichumkua ma bilion ya majizi kufanya maendeleo.

Embu fikiria mtu unakatwa elfu 50 juu juu kweli?
Yeye alianzisha kwakuchota mabilioni wenzake wameiboeesha lwakuchota kidogokidogo
 
Mh...... gharama ya statement inategemea na miezi unayotaka,mwezi mmoja elfu mbili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…