Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tusio na hata mkokoteni wanakata makato ya nini?Kuna Uzi nimeupandisha sasa hivi nimefikiria nje ya box kwa haraka ebu usome
sasa hilo na wewe na benk print bank statement, mhojiane na benkNa tusio na hata mkokoteni wanakata makato ya nini?
We silla acha uongo Fogo wwNa tusio na hata mkokoteni wanakata makato ya nini?
Huwezi kutoa yote, Kuna Yale makato ya benki ya Kila mweziHuwa hela ikiingia bank naitoa yote..naweka kwenye sakosi na safe.
#MaendeleoHayanaChama
Inawezekana unakatwa kiwango kidogo ambacho si rahisi kustuka. Ila ukweli ni kwamba tangu tozo zianze, wanakata sana tu tofauti na hapo kablaKwahiyo Benk wanaangalia sura [emoji276]mbona kwa wengine hakuna makato?
Mwenyewe.We silla acha uongo Fogo ww
[emoji3][emoji3][emoji3]Bank ni kwa ajili ya upper class, sasa laki 2 unaenda iweka bank si kutafuta matatizo huko.
Yeye alianzisha kwakuchota mabilioni wenzake wameiboeesha lwakuchota kidogokidogoJpm wetu hakuwahi kufanya hivyo, yeye alichumkua ma bilion ya majizi kufanya maendeleo.
Embu fikiria mtu unakatwa elfu 50 juu juu kweli?
Mh...... gharama ya statement inategemea na miezi unayotaka,mwezi mmoja elfu mbili!!!ndani ya wiki moja nakuja kustukia account yangu ina 56230/~ kutoka laki 3 na ishirini.
nilienda nmb kuuliza hakuna wanachonijibu wananitolea statement, nashangaa kutoa statement ya page mbili nayo wamekata elfu10. nikachomoa ka arobaini kalilobaki nimeampa sitotumia bank tena kuhifadhi visent
Hamna mtu anatoa hela zako kwa wakala bila password yakoCha zaidi utaambiwa uliitoa kwa wakala wakati hakuna kabisa mwenye access na kadi yako zaidi yako. Ni wezi hatari.