Watanzania msiweke pesa Benki

NMB vimeo sana, wana uwaki mwingi. Au sijui mie ndio nama balaa nao
 
Mimi ndiomaana sibakizig hela bank ikiingia ty nadroo yoteeee inabakia 5000 ya kulinda account
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Benki ninayotumia huwa chenji chenji zinazobaki za Mpesa, Airtel noney na Tigopesa huwa nazitupia humo, Mfano nina laki nne, nimefanya malipo ya laki tatu labda na ishirini iliyobaki badala ya kuiacha kwenye simu nikashawishika kuitumia bila utaratibu huwa naituma kwenye hiyo bank, makato yao mwisho wa mwezi utakuta elfu kumi na tano, elfu kumi n.k
 
Huenda NMB,CRDB, NBC labda ndo zina hizi shida.
Ni kweli, Nina akaunti crdb nimeamua kuilinda tu kwa kuiwekea hela Ili wasinifungie, ni wanakata mno
 
Reactions: Tsh
Mimi natumia Equity Bank.
Nakatwa wakati wa kutoa tu.
Nisipo toa sikatwi hata iwe 3 months
Daah NMB walinikata 150,000 sina hamu nao kabisa, CRDB nao wale wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…