Watanzania mtashangaa Katibu Mwenezi CCM atakayeteuliwa leo, msihofu

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu!

Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka maslahi ya Taifa letu mbele.

Katibu mwenezi wa CCM atakayejulikana hivi punde hamtajua kwanini amewekwa yeye ila ndio hivyo, msihofu chochote.
 
Ndio minong'ono iliyopo Kwamba atateuliwa Katibu wa Itikadi na Uenezi kisha patakuwepo Uteuzi mwingine wa Msemaji wa CCM

Inadaiwa Msemaji wa CCM atakuwa ni Mwanahabari anayeijua Dunia Ili kumtofautisha na hawa wa Upinzani akina Mrema

Ngoja tuone muda unazidi kusogea 😂😂
 
Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu!

Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka maslahi ya Taifa letu mbele.

Katibu mwenezi wa CCM atakayejulikana hivi punde hamtajua kwanini amewekwa yeye ila ndio hivyo, msihofu chochote.
Hilo lichama limeshadumaa halina jipya mijitu ileile tu miaka nenda rudi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu!

Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka maslahi ya Taifa letu mbele.

Katibu mwenezi wa CCM atakayejulikana hivi punde hamtajua kwanini amewekwa yeye ila ndio hivyo, msihofu chochote.
Yaani watz bara sijui vipi. Kicheo kidogo kama hicho ndio kimekuwa mjadala kutwa kuchwa? Ndio maana muengereza akawatawala kirahisi kabisa
 
Back
Top Bottom