Ngoja atangazwe kwanza πMwanahabari anaeijua dunia?....bwashee acha vichekesho hahahaha
Kanda yenye 30% ya wapiga kuraNi lazima atoke au awe anakubalika kutoka ile Kanda so powerful π π ππ
Mvinyo ule ule ndani ya chupa mpya ! ππ
Hilo lichama limeshadumaa halina jipya mijitu ileile tu miaka nenda rudiKuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu!
Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka maslahi ya Taifa letu mbele.
Katibu mwenezi wa CCM atakayejulikana hivi punde hamtajua kwanini amewekwa yeye ila ndio hivyo, msihofu chochote.
Yaani watz bara sijui vipi. Kicheo kidogo kama hicho ndio kimekuwa mjadala kutwa kuchwa? Ndio maana muengereza akawatawala kirahisi kabisaKuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu!