Watanzania mtashangaa Katibu Mwenezi CCM atakayeteuliwa leo, msihofu



Kwamba wote sisi tunajali ccm? Hata wakiteua tofali lieneze ccm ni sawa.
 
Kama kuna mtu anashqngaa ya ccm, inabidi apimwe kichwa! Huwezi, kushqngaa kichaa kutembea uchi, au mafia family kuua watu,
 
Hatmaye member mwenzetu wa JF Lucas Mwashambwa ametuliwa kuwa mwenezi wa CCM. Hongera sana Lucas !!!
 
Duuh! Huyo bila shaka ni G4N
 
Mwenezi mpya si mwingine bali ni kijana mkereketwa na mfuasi anayejipambanua kuwa muaminifu kwa chama, Lucas Hebel Mwashambwa.
 
Ni nani unayemwongelea. Kafulila? Huyu yuko smart sana; halafu mtu wa statistics. Akitoa hoja. lazima aambatanishe na statistics
 
Conflict of interest iwapo Mello akijiunga.
 
Yaani Lengai Ole Sabaya ateuliwe halafu msiwe na hofu ya mustakabali wa taifa lenu? Una akili kweli wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…