MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Tumezoea mataifa kama Japan na China kutojishughulisha na mambo ya ndani ya nchi za watu, wao hata mchinjane hadi abaki mmoja, huyo ndiye wataendelea naye kwenye mishe zao.
Japan ni mojawapo wa wafadhili wa miradi Tanzania, ikiwemo msaada waliotoa kwa ile 'flyover' ya Mfangale ambayo Watz hupigiwa picha sana hapo, sasa na wao wameanza kuwasema sema, balozi wao ametoa tamko kwamba alisshangazwa sana na kilichotendeka huko Tz.....
=====================
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country. I am convinced that sound democracy based upon multiparty system works best to contribute to further development and prosperity of Tanzania.
GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania
Ninashangazwa na habari za hitilafu na ubadhilifu zilizoshuhudiwa kwa wingi nchini humu katika mchakato wa uchaguzi wa hivi karibuni. Nina uhakika demokrasia ya kweli chini ya mfumo wa vyama vingi itachangia zaidi maendeleo na ustawi wa Tanzania.
GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania