Uchaguzi 2020 Watanzania mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu, Tunachagua tena Rais pamoja na wabunge

Uchaguzi 2020 Watanzania mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu, Tunachagua tena Rais pamoja na wabunge

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,183
Reaction score
1,322
Watanzania mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu, Tunachagua tena Rais pamoja na wabunge.

Ni mwaka ambao una changamoto kubwa sana katika uchaguzi mkuu hususa upande wa visiwani

Watia nia ya kugombea nafasi za ubunge wengi wao wamesha jijua kilichobaki tu ni taratibu za kiofisi Wapinzani.

Wapinzania siku zote wana lia lia kilio chao cha siku zote kuhusu kuwepo na tume huru ya uchaguzi kitu ambacho kama itakuwepo naweza kusema ni muujiza.

Kama kweli wapinzani wana nia ya kupatata tume huru wakati ndio huu wasiruhusu mpake JUNE ipite. Kwani serikali ya CCM hawani soni wanaweza wakafanya mchezo ule ule uliofanyika kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa Mitaa.

Kwa kila hali watafanya mbinu wabakie madarakani kwani wanaujua unyonge wa Watanzania.

Serikali iliopo madarakani inaogopa kivuli chake ,
 
Tume inapewa maelekezo Na kina bashiru Na polepole, hakuna uchaguzi Bali uchaguzi...
 
Back
Top Bottom