The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
Kuna hali fulani hivi ya ushabiki naendelea kuiona si ya kawaida. Nadhani imesababishwa na kutazama mpira wa Ulaya.
Watu wamejitolea kwa jasho na damu kupigania mpira kuliko hata maisha yao wenyewe. Kama binadamu jitahidi sana kuhimili mihemko ya mambo ya dunia hii.
Dunia ina mambo mengi sana yenye kuleta hisia kali kama hutajifunza kuyakabili unaweza kuishi maisha ya stress kila siku au kupoteza maisha.
Watanzania wanateswa na haya
1. Umasikini
2. Mpira
3. Mapenzi
Mengine unaweza kuongeza....