Watanzania na kufurahia vifo vya wanasiasa, ja watawala wanajisikiaje?

Watanzania na kufurahia vifo vya wanasiasa, ja watawala wanajisikiaje?

Chawa ni neno la wahuni wa sasa Samia.
Sisi tulikuwa wazalendo. Tunaangalia Tofauti ya mkataba wa Acacia na Twiga. 90% ya vetu iende kwa wageni au tugawane vizuri kwa rasilimali zote za Taifa.

Magufuli alilet Muongozo, alipambania Taifa kupata mkataba mzuri kwa Tanzania milele. Huo ni uzalendo.
Sana, Dkt Magufuli alituamsha kuwa sisi siyo masikini ni matajiri ila kaja Mama kasema sisi ni masikini lazima tukope
 
Umeliweka sawa kwa hekima, nadhani ni wakati Dkt Samia asikilize watu wanasemaje badala ya kuwa kiziwi
Wanaokula huwa hawajui mwenyenjaa.

Ndio maana kuna watu wanamwambia "hatumdai kamaliza kila kitu" wakati watu wanakufa ma hospitalini kwa kukosa huduma, shule zina hali mbaya, bara bara na miundo mbinu hoi hae, kilimo ndio kwisha kabisa.

Lakini machawa wanasema "hatumdai kamaliza".

Kwasababu wao ndio wana access naye na ndio waliomzunguka anaamini hayo ni kweli.
 
Sana, Dkt Magufuli alituamsha kuwa sisi siyo masikini ni matajiri ila kaja Mama kasema sisi ni masikini lazima tukope
Pumbavu sana. Hatuwezi wanaume kufuata huu upuuzi. Aongee na machawa, wanawake wenzake huu upuuzi.
 
Ukifurahia kifo cha mtu ,nawe ukifa watafurshia vivyo hivyo
Kwa mfano, wewe kichomiz au Mudawote , unaambiwa fulani kwa nini katekwa na kuuwawa, wewe unajibu kwa majivuno eti "kifo ni kifo", hiyo maana yake ni umefurahia kifo cha huyo mtu, sasa nawe ukifa, watu watafurahia kifo chako vivyo hivyo.

Ukikaa kimya wakati watu wanakandamizwa, maana yake wewe upo upande wa wakandamizaji.

Kibinadamu, hao wanaokandamizwa watafurahia siku nawe yakikukuta mabaya.
 
Kwa mfano, wewe kichomiz au Mudawote , unaambiwa fulani kwa nini katekwa na kuuwawa, wewe unajibu kwa majivuno eti "kifo ni kifo", hiyo maana yake ni umefurahia kifo cha huyo mtu, sasa nawe ukifa, watu watafurahia kifo chako vivyo hivyo.

Ukikaa kimya wakati watu wanakandamizwa, maana yake wewe upo upande wa wakandamizaji.

Kibinadamu, hao wanaokandamizwa watafurahia siku nawe yakikukuta mabaya.
Naam tena watafanya sherehe kubwa
 
Naam tena watafanya sherehe kubwa
Hahahah dah kwa kweli. Ila hakika wanasiasa wanatutengenezea kizazi kibaya sana. Yaani unajua generation inayokuja itawaadhibu viongozi waliopita. Halafu Tanzania nadhani ndiyo nchi pekee watu wake wanasali sana
 
Chawa ni neno la wahuni wa sasa Samia.
Sisi tulikuwa wazalendo. Tunaangalia Tofauti ya mkataba wa Acacia na Twiga. 90% ya vetu iende kwa wageni au tugawane vizuri kwa rasilimali zote za Taifa.

Magufuli alilet Muongozo, alipambania Taifa kupata mkataba mzuri kwa Tanzania milele. Huo ni uzalendo.
Una uhuru wa kutoa maoni, unasemaje Magufuli alikuwa mzalendo wakati alipokuwa anashauriwa palipo na mizizi ya tatizo yeye alidhihaki watu na kwemda kushughulika na matawi ya tatizo?

Hana utofauti na huyu anayeshughulikia wanaowakosoa watekaji, wabakaji na wauaji.
Ipo siku tutampata kiongozi anaefahamu mizizi ya matatizo ya nchi hii siyo hawa wanaobaka wananchi na kuwaua japo waliapa kuwalinda.
 
Una uhuru wa kutoa maoni, unasemaje Magufuli alikuwa mzalendo wakati alipokuwa anashauriwa palipo na mizizi ya tatizo yeye alidhihaki watu na kwemda kushughulika na matawi ya tatizo?

Hana utofauti na huyu anayeshughulikia wanaowakosoa watekaji, wabakaji na wauaji.
Ipo siku tutampata kiongozi anaefahamu mizizi ya matatizo ya nchi hii siyo hawa wanaobaka wananchi na kuwaua japo waliapa kuwalinda.
Uzizi wa tatazo ni nini ?

Ni Lissu wakati ule kupinga Acacia iliyokuwa hailipi kodi kufutwa na kuundwa Kampuni ya Twiga 50/50 wawekezaji na Watanzania na Watanzania ndani ya body za uwekazaji zote kuwa 50/50 tukiwa na watu ndani ya bodi wakiangalia maslahi yetu?

Ni msingi wa makubaliano mengi duniani leo.
 
Uzizi wa tatazo ni nini ?

Ni Lissu wakati ule kupinga Acacia iliyokuwa hailipi kodi kufutwa na kuundwa Kampuni ya Twiga 50/50 wawekezaji na Watanzania na Watanzania ndani ya body za uwekazaji zote kuwa 50/50 tukiwa na watu ndani ya bodi wakiangalia maslahi yetu?

Ni msingi wa makubaliano mengi duniani leo.
Una hoja nyepesi sana kama hiyo ndiyo unaona ni mzizi wa tatizo.
 
GTs,

Naomba niandike kidogo sana.

Kipindi anafariki Dkt Magufuli wengine tuliumia na kulia wengine walishangilia na kufanya sherehe.

Mi nilichojifunza ukiwa shabiki wa mwanasiasa basi sikiliza watu wanasemaje then mshauri kiongozi wako hivyo hivyi kiuchawa asikilize watu maana akifa utasikitika peke yako wenzako wanashangilia na kunywa na kula nyama kama yaliyotupata sisi chawa wa Dkt Magufuli.

Je mwana JF upo upande gani?
Lakini, mwisho wa yote haya, sisi sote ni viumbe wa Muumba wetu.
Hao wanaolia, acha walie kwa kupotelewa hujko; na hao wanaofurahi, wacha wafurahi. Furaha yao siyo ya kudharau ubinaadam wa huyo wanayefurahia kifo chake, bali ni kufurahia ukomo wa ubaya aliokuwa nao katika maisha yake.
Mwisho wa siku, sisi sote tutasameheana kama binaadam, na maisha yataendelea.
 
Walioshangilia ni "Wahuni" ambao hata leo wanahangaika kutaka kuihujumu Tanzania.
Tazama mkanganyiko wa kutisha unaokusumbua wewe mwenyewe wakati huu! Unasimamia wapi wewe!
 
GTs,

Naomba niandike kidogo sana.

Kipindi anafariki Dkt Magufuli wengine tuliumia na kulia wengine walishangilia na kufanya sherehe.

Mi nilichojifunza ukiwa shabiki wa mwanasiasa basi sikiliza watu wanasemaje then mshauri kiongozi wako hivyo hivyi kiuchawa asikilize watu maana akifa utasikitika peke yako wenzako wanashangilia na kunywa na kula nyama kama yaliyotupata sisi chawa wa Dkt Magufuli.

Je mwana JF upo upande gani?
Anayeteka na kuua Watanganyika ili aendelee kuitawala Tanganyika akifa nitafurahi sana.
 
Ukiangalia Magufuli alitaka kuwapa uwezo, elimu, afya, miundombinu, uzalendo, nidhamu, uwajibikaji, kuwa kiongozi mzalendo, thabiti.
Yote yenye nia "njema"(?) kabisa kwa taifa hili. Lakini hakujuwa jinsi gani ya kuyatimiza haya mazuri. Hilo na yale mengine ya hovyo kabisa yalimharibia heshima kubwa ambayo angejijengea kwenye taifa hili.
 
Uzizi wa tatazo ni nini ?

Ni Lissu wakati ule kupinga Acacia iliyokuwa hailipi kodi kufutwa na kuundwa Kampuni ya Twiga 50/50 wawekezaji na Watanzania na Watanzania ndani ya body za uwekazaji zote kuwa 50/50 tukiwa na watu ndani ya bodi wakiangalia maslahi yetu?

Ni msingi wa makubaliano mengi duniani leo.
Ni ujinga wa namna hii, pamoja na kiburi kisichotumia akili ndivyo vilivyo mnyima Magufuli heshima aliyo istahili.
Wewe hapa unasema "Lissu alipinga Acacia...." Una ushahidi wowote unaokuonyesha kuwa Lissu alipinga?

Ukweli ni kuwa, kama Magufuli asingekuwa ni mtu mwenye hulka ya kiburi na kukosa busara katika maamuzi yake; Lissu na Magufuli wangeweza kufanya kazi kwa pamoja kwa manufaa makubwai ya taifa hili.

Lissu hakupinga mikataba ya Accacia kutazamwa upya. Ni mtindo uliokuwa ukitumiwa katika kuleta marekebisho hayondio ulikuwa ni tatizo. Lakini watu kama wewe hapa, hadi leo mnakuja na upotoshaji uleule alioutumia Magufuli; halafu mnajivika "Uzalendo"!

Sasa ni maajabu, hata bado hiyo "Twiga 50/50" huelewi maana yake ni nini hasa!
 
GTs,

Naomba niandike kidogo sana.

Kipindi anafariki Dkt Magufuli wengine tuliumia na kulia wengine walishangilia na kufanya sherehe.

Mi nilichojifunza ukiwa shabiki wa mwanasiasa basi sikiliza watu wanasemaje then mshauri kiongozi wako hivyo hivyi kiuchawa asikilize watu maana akifa utasikitika peke yako wenzako wanashangilia na kunywa na kula nyama kama yaliyotupata sisi chawa wa Dkt Magufuli.

Je mwana JF upo upande gani?

CCM ni chama cha majambazi yasiyo na maono zaidi ya kuwaza pesa tu na maisha yao binafsi.

Yaani baada ya Magufuli hatukutegemea kuona tena makosa ya kutumiaa nguvu kubwa kwa mambo madogo lakini wapi sikio la kufa halisikii dawa.

Hii nchi kwa sasa tulipofika ni Mungu tu atulinde sana maana ikitokea hata tumevamiwa na Comoro tunaweza tukapogwa vibaya sana.
Kwa sababu watu wengi wanatamani kuona wanalipwa visasi kwa machungu waliyopata .

Wazungu pamoja na kwamba kuna watu wanaleta siasa uchwara za kusema ooh ,mila zetu sijui nini lakini bado wazungu wana akili sana kwa sababu wamefanya tafiti nyingi na wanajaribu sana kupita kwenye mazingira yasiyomuumiza binadamu kama kwa makusudi hasa kwenye mambo ya kisiasa na kijamii . Mfano leo majeshi yote yanaandaliwa kwenda kudhibiti wapinzani wasishinde uchaguzi pamoja na kwamba wanaona wazi kuwa CCM na serikali yake wameligawa Taifa vipande vipande lakini bado wanataka CCM ishinde kwa asilimia 90 na kurudi kuendelea na siasa hizi za chuki na kujilimbikizia mali. Kwa sasa uhalifu huko mitaani umekua mkubwa sana ukilinganisha na awamu ya Tano na ya nne .

CCM wanaanda vijana wa kizanzibari na kiislam wasiowahi kufuatilia siasa wala kujua siasa za Tanganyika . Vijana wadogo waliozaliwa miaka ya 2000 wanajazana kwenye mitandao kueneza chuki na kutukana watu kwa misingi ya kidini . Mfano kuna ka ustaadhi fulani kachawi katoto kadogo kanasema eti kanataka Tundu Lisu asitolewe gerezani maana akitoka anataka kutuletea ushogo . Yaani hopeless kabisa . Halafu kanasema Eti Gwajima anamshambulia Samia kwa sababu ni muislam na kwamba eti awamu zote zilizopita alikua yupo Kimya . Sasa wajinga kama hawa ndio Samia na serikali yake wanatapanya pesa za umma kuwafadhili ili kuwapigania ,hii ni hatari sana . Gwajima awamu ya Kikwete amekamatwa sana. Kipindi cha Magufuli ametambikiwa mpaka madawa ya kulevya na kutengenezewa video ya ngono kwa sababu ya kuicharura serikali . Tena awamu ya Magufuli aliisumbua sana . Kanisa la Ufufuo na uzima waliandamana mpaka Central Polisi na wakaimba mapambio mbele ya kituo cha polisi .Hawa watoto wapumbavu wanaotumiwa na CCM kudhuru watu na kutukana watu kwenye mitandao walikua hawafuatilii siasa wakati huo walikua bado wanavaa Pampas . Leo SERIKALI ya Samia inagwawa mapesa kuwapa hao wapumbavu kuwatukana maaskofu na kukashfu wakristo na kujenga chuki dhidi ya wakristo. Magufuli alilaumiwa sana lakini hakugawa pesa kwa watu kwenye mitandao zaidi ya kuwanunua wapinzani na kupambana wenyewe kwa wenyewe kwenye mitandao na majukwaa . Magufuli hakupenda tu maandamano maana alisema wazi kuwa anataka watu wafanye kazi tu mpaka uchaguzi ukifika .

Leo hii ikatokea siku ya uchaguzi tukavamiwa na nchi nyingine sasa saba mchana utapigwa kipigo cha mbwa koko maana askari wa majeshi yote wapo kwenye vita ya kumpigania Samia ashinde uchaguzi .

Yaani hata uchaguzi wa kwanza wa mwaka 1995 ambao CCM ilipumulia mashinde kwa kupigwa na chama kilichokuwa na miaka mitatu tu lakini hawakutumia Jeshi la wananchi kusimamia uchaguzi wala FFU maana ukitumia hayo majeshi mawili kijinga ni rahisi sana kupigwa na adui wa nje au hata serikali kupinduliwa . Lakni kwa mfano majeshi yote yapo kwenye vituo vya uchaguzi kuiba kura na kupiga wananchi ambao wengi ni vijana halafu madege na vifaru vya majeshi ya Malawi yanavamia Tanzania ghafla ni wazi wale vijana wanaonyanyasika na kupinga uchaguzi huo wataungana na wavamizi . Na wazee na matajiri wanaoiunga mkono CCM watajificha kwa sababu hakuna Tajiri anayeifia nchi . Ndio maana Kenya ya Leo na kesho kutwa ina umoja na uzalendo kuliko Tanzania. Vurugu za kisiasa za wenyewe kwa wenyewe Kenya haziwezi tena kutokea kwa sababu wameshajielewa kuwa asiyefaa wanampiga chini kwenye uchaguzi na jambo la kuwagawa au kuwagandamiza wanalikataa kwa wingi mkubwa mpaka serikali inaomba radhi . Wananchi wanaolipa kodi Kenya wameshatambua kuwa nchi ni ya kwao na viongozi ni watumishi wao wanaolipwa pesa nyingi kwa ajili yao .

Leo sisi ndio kwanza tunakuwa na rais anakaa kimya machawa wake wanapewa pesa za kupambana kwa kutumia silaha na utekaji na mauaji na kuwanyamazisha maaskofu na kufunga makanisa bila kujali . Huu ni mwaka wa uchaguzi Sio mwaka wa kuteka watu wanaopiga kampeni . Kenya Raila ai'liwahi mpaka kujiapisha lakini walikaa mezani tena wakiwa bado wana ukabila kabila . Leo Kenya ukabila umepungua sana . Wamebaki vijana wa kizazi kipya sio ukabila wala Udini . Kenya ni Nchi yenye Wakristo wengi lakini mpaka Wasomalia wanahamia Kenya na kufanya siasa . Waislam wa Kenya ni wasomi hawana siasa za kijinga kidini wanapigania haki kwa pamoja . Hakuna mambo ya huyu ni muislam mwenzetu wakati anaongeza kodi na bei za bidhaa .

Huku Watu wanapewa pesa kama akina Malasuasa na mashehe wa Bakwata na maustadhi waliofuatilia mambo yalivyo kwa undani wanakubali kutumika kuwagawa watanzania kidini kwa kupinga hata yale yanayokatazwa na dini na katiba na sheria zetu .

Eti wapumbavu wengine wanasema Tundu Lisu anatumiwa na wazungu kutuletea ushoga . Pumbavu kabisa .
Kutosoma ni tatizo kubwa sana kwa nchi hii.
Wakoloni wazungu walikua Tanzania wakutane kuna dini ya kiislam na dini za asili . Na waliokua wanakaa kwenye miji mikubwa kwama Tanga ,Darisalam ,Lindi ,Kilwa,Zanzibar na Mtwara walikua ni Waislam kwa asilimia zaidi ya 98. Wazungu na serikali ya kikoloni wakaona vitendo vya ulawiti ni vikubwa sana wakatumia sheria ya kuzuia ulawiti na wakaweka hukumu yake .Sheria inayotumika mpaka leo.
Ukikaa kijiweni tu kusubiri nyama za Waturuki wakati wa siku kuu na kujengewa misikiti huwezi kujua kuwa wazungu walikuja Tanzania wakakuta kuna vitendo vya kishoga wakatunga sheria kukataza ushoga miaka mingi kabla ya uhuru . Kwa hiyo suala la ushoga ni suala la jamii yenyewe kuamua . Leo tujiulize hivi ni kweli serikali ya CCM inapinga ushoga ? Yaani CCM yenye wabunge 100 % lakini mpaka leo haijaweka sheria kali ya kupinga ushoga na tena wengi wenye NGO zinazopokea mabilioni ya Pesa toka Ulaya na Uarabuni kwa ajili ya ushoga na ugaidi zinaongozwa na Makada wa CCM na familia zao . Leo wanasema Lisu aozee jela maana atatuletea ushoga . Wapumbavu wakubwa na wana wa Ibilisi. Ina maana hawajui tu kuwa hakuna upinzani unaoweza kuishinda CCM kwa zaidi ya 55% . Hawaoni kuwa pakiwa na uchaguzi wa haki ndio tutakua na sheria zenye tija kwa taifa maana hakuna mjinga yeyote atapeleka muswada wa kipumvavu ukapita maana bunge haliwezi tena kuwa na wabunge wa Chama kimoja ambao wakihongwa wanapitisha sheria za hovyo au wanaacha kutunga sheria za maana . Mfano Wakati wa JK Wizara ya nishati na madini walihonga wabunge ili kupitisha bajeti lakini ndani ya CCM wakajitokeza wengine wakakata na kuleta hoja hiyo bungeni mpaka waziri akajiuzulu . Hiyo ndiyo siasa ya kulinda maslahi ya Taifa sio hizo siasa za Kudhibiti ukristo na kuua watu huku fedha za umma zikichezewa kama anavyosema mpina .
Dr . Samia akikaa pembeni na kupisha wengine atapata heshima kubwa kuliko akirudi kwa hila na rushwa na vitisho na mauaji na utekaji na kufunga makanisa au hata kuwamaliza wakristo .

Rais Dr.Samia ameshachafuka sana kijamii ,kisiasa na kiuchumi. Analaumiwa ameshindwa kudhibiti wizi wa fedha za umma .
Analaumiwa ameshindwa kujenga umoja wa kitaifa ,
Angalaumiwa kwa kuleta Udini na kuongeza mpasuko wa Uzanzibari na Utanganyika . Hana imani na watamganyika mpaka kwenye ajira na uwekezaji . Yaani hawaamini Watanganyika mpaka ndani ya vyombo vya dola hasa wakristo .
Ameleta mpasuko mkubwa wa kisiasa .

Nakumbuka Magufuli pamoja na kushambuliwa sana na Mbowe na wapinzani na makundi ya kina Kikwete na Samia lakini siku ya kwanza tu Tundu Lisu alipopigwa Risasi alitoa pole na kuomba jeshi la polisi liwatafute waliofanya unyama ule .

Bunge pia lilikua moja na waliungana wabunge wote kukemea jambo lile .Hali ilikuja kubadilika baada ya Watu kumtuhumu JPM kuwa ndiye aliyehusika .Tuhuma zile zile sababisha apandwe na hasira na kukaa kimya bila kutoa msaada wowote na wabunge wa CCM na spika walipoona suala lile limekua ni suala la siasa zaidi wakaamua kukaa pembeni. Lakni hakuna tena mpinzani aliyepigwa risasi . Na hata kupotezwa nadhani hakuna mwanasiasa aliyepotea zaidi ya Ben Saanane.

Hata hivyo hatukubaliani na Saisa za kupoteza watu . Leo Serikali imewagawa watu mpaka kundi moja la dini linafurahia kundi la dini nyingine kuuawa na kupotezwa. Yaani tumepata Rais anayetakeleza jihadi kwanye nchi yetu au maana yake ni nini ? kwa nini pawe na furaha kwenye baadhi ya dini kuona dini au dhehebu lingine likipata misukosuko kwa sababu ya kukemea mabaya .

Kuna misikiti hua wanafundishwa mpaka Judo na kareti na kupigana kwa kutumia mapanga lakini hatujawahi kuona ikifungiwa zaidi ya serikali kufichaficha kwa sababu ya kuhofia hasira za waislam ambao mara nyingi wao wanalipiza visasi kwa kuchoma moto vituo vya polisi na makanisa na kuua polisi na wachungaji . Sasa wanaona serikali ndiyo inayolinda wanaoua na kuteka wachungaji na kufunga makanisa basi wale waliokua wanafanya hayo wanajitokeza kuunga mkono CCM kwa nguvu zote maana malengo yao sasa ndio yanatimizwa.
 
Sema tatizo tuna mfumo mbaya. Yaani polisi wanasikiliza rais yaani mfano sina hakika kama Dkt Samia kaagiza kanisa kufungwa naamini hayo maagizo hajayatoa ila wasiaidizi wake wamefanya bila hata kumhusisha.

Samia hajawahi kuupenda ukristo.
Hakuna Mzanzibari anayependa Ukristo labda kwa siri. Ili Mzanzibari ukubalidke Zanzibar ni lazima uonyeshe wazi wazi kuukandamiza ukristo.

Hotuba yake wakati anatoa sadaka kwa yatima alisema wazi kuwa kuna makanisa yanamwabudu shetani.
Hivi hajui kuwa Shatani anaweza kuonekana anaabudiwa na dini yake pia maana kila mtu anaona dini yake ndiyo sahihi .

Katiba serikali inayolaumiwa kwa upotevu wa fedha nyingi na wakubwa kutokulipa kodi na mikataba ya hovyo kuona watu wakitoa sadaka za ngamia ,ng'ombe ,kujenga misikiti ,kusaidia yatima , kupeleka watu hija au kiwanda hija ni jambo la kawaida .

Kwa waislam pesa haramu inatakiwa itumike kujenga msikiti au kutoa misadia au sadaka ya kusaidia watu au kuchimba kisima .

Ndio maana unaona ni wepesi sana wa kukwepa kodi ,kufanya biashara haramu za madawa ya kulevya na magendo ya kila aina lakini wanachotakiwa ni kutoa sadaka au kujenga misikiti au kupeleka watu Hija.

Kwa hiyo bila kuwa na katiba mpya hivi nchi itatafumwa sana na waislam na wazanzibari kila watakapoingia madarakani . Wanajua dhambi zao zitaisha wakijenga misikiti na kutoa fedha kupeleka watu hija na kusaidia yatima .

Ndio maana kwenye mabenki na Kampuni za bima na michezo ya kamari , miziki, mipira na taasisi zote zinazotoa riba waislam wamejazana kwenye hizo ajira lakni katika dini mambo hayo au taaisis hizo ni haramu kubwa sana . Lakni cha ajabu Wanatumia hayo mambo kupata fedha nyingi sana halafu wanakwenda kujenga misikiti Ili kupata msamaha au kupunguza hayo madhambi lakni pia wanatumia hizo fedha kupeleka watu kuhiji Maka au kutoa sadaka .
 
Back
Top Bottom