Watanzania, na sisi tumempata Isaac Maliyamungu wetu?

Watanzania, na sisi tumempata Isaac Maliyamungu wetu?

Kwa sifa ulizoelezea za huyo mtu wako, utakapokuja (kama uzi huu utakuwepo bado - kwa hisani ya wahusika na sio ya wana JF) utupe mifano ya matukio yaliyotekelezwa katika nchi hii kwa namna ya unyama unaofanana na utangulizi wako!
 
Udikteta huanzia mbali
Kujipendekeza kwa raia kinafiki...raia kushangilia nyanyapaa, ubaguzi na utesi kwa baadhi ya watu.

Hili linaonekana Tz kwa waazi kabisa.
 
Hilo hata mimi nimeliona, wanafanya hivyo ili kuwavunja watu nguvu za kuanzisha thread. Kuna mdau mwingine amesema wanafanya hivyo kwa lengo ya kufinya baadha ya thread ili zisipatikane
Wameficha Uzi wangu kwa stail hii

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Ilipotokea tafrani au maasi yoyote yaliyohitaji mtu wa kuyazima Isaac Maliyamungu ndiye aliyepewa kazi hiyo. Kuna wakati alivamia kituo cha kati cha polisi mjini Entebbe alichodai kimempa hifadhi mtuhumiwa aliyemtaka na kesho yake kituo kilibaki kitupu baada ya polisi wote kufika hospitali kwa matibabu kufuatia kipigo kutoka kwa wanajeshi wake.

Je vyombo vya habari navyo vilipona? Itaendelea...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
maliyamungu-jpg.592522
 
Wote ni wauaji , watawala wote tanzaniam ni wauaji
 
Back
Top Bottom