Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 562
Wameficha Uzi wangu kwa stail hiiHilo hata mimi nimeliona, wanafanya hivyo ili kuwavunja watu nguvu za kuanzisha thread. Kuna mdau mwingine amesema wanafanya hivyo kwa lengo ya kufinya baadha ya thread ili zisipatikane
Hakumaliza vita alikimbiya na kwenda Jamhuri ya kidemocrasia ya Congo alifariki mwaka 1980 mkuuMag3 umetuacha pabaya ila swali moja tu kabla hujandelea na uzi huu je Historia yake iliisha wapi? Yuko wapi kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi sina na nafanya kazi na naitwa kila sehemu.