The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tuambie kampuni gani iliyotoka worldwide kuwekeza simba na tupo takwimu za jezi mlizouzaYapo mengi sana ila kwa uchache tu unapo postiwa unapata covarage pana ya kuongeza mashabiki na kujulikana worldwide kwasababu page ya caf inetembelewa na sehemu kubwa sana ya familia ya soka ulimwenguni.hivyo basi ni rahisi kuuza product za club kama jezi,wachezaji,kampuni kubwa kuwekeza kwenye club n,k.
Ndio Barbara anawadangaya hivyo?Yapo mengi sana ila kwa uchache tu unapo postiwa unapata covarage pana ya kuongeza mashabiki na kujulikana worldwide kwasababu page ya caf inetembelewa na sehemu kubwa sana ya familia ya soka ulimwenguni.hivyo basi ni rahisi kuuza product za club kama jezi,wachezaji,kampuni kubwa kuwekeza kwenye club n,k.
Wenye hii tabia ya kubwekabweka wanajulikana kwani Luc Eymael alishaliweka sawa. Ko hao simba kwenye hiyo orodha hawamo.Hao ni mashabiki wa simba. Na matatizo yao bila shaka hakuna asiye yafahamu.
"Kiherere" ndio uchafu gani huu?Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana ya kiherere na kuonesha hali ya upumbavu na ujinga katika mitandao ya kijamii. Tabia tunayoinesha sio kwamba ndio tunaujua sana mpira kuliko mataifa mengine ya Africa, bali tunaonesha ndio wapumbavu na wajinga kuliko mataifa mengine Africa.
1) Tabia ya kulalamika kupostiwa postiwa ni swala la ajabu mno, kupostiwa hakuifanyi timu iwe kigogo zaidi ya kuucheza mpira uwanjani na kuchukua kombe.
2) kujisifu kwa kupostiwa nalo ni upuuzi, wanao tawala soka la Africa wakipostiwa huwezi kuona shangwe, wala tambo wala comments nyingi ila sisi watanzania tu ndio bado tuna ushamba mwingi na mambo ya CAF.
3) ku comment vitu visivyoendana na content. Mara nyingi sana CAF wanapo tweet habari inahusiana na mchezaji au timu za kariakoo basi tegemea page kuchafuka kwa kila aina ya uharo. Hakuna anayetoa fact, au kwendana na content zaidi ya kuandika upuuzi mwingi mno. Juzi ilipostiwa nani anastahili kuwa kipa wa decade wakapost wanaowania ila cha ajabu mtu anajiropokea tu Manula, Manula.
4) Tabia ya kuvamia kwenye page za timu ambazo unakutana nao kwenye mechi inayofuata na kuandika upuuzi na tambo nyingi. Hii tabia ilianza tokea zamani sio msimu huu.
Kwahiyo hapo wanaomtaja Manula ni Yanga?Hasa mashabiki wa yanga ndio maana Morrison aliwaambia waende shule.