Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

Hata ukienda Kenya, Uganda, marekani, uarabuni kote kilio ni hicho. Huoni waarabu wakilalamika unafki wanafanyiana dhidi ya kupambana na IsraelπŸ˜…
Wabongo mmezidi, mwanachama mwenzenu slowly katekwa mmekausha 😹😹😹
Sis nikimuuliza hilo swali anakua mkali km mbwa aliyechomwa chanjo ya kichaa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…