Kwa hali ilivyo nchini mtu anakuambia anagongojea tarehe 29 huwa nachoka kabisa
Tungekuwa watu tunaojitambua hamasa ilikuwa ni masaa 24 kesho watu tupo road ila ndo hivyo hata hiyo tarehe 29 sijui kuna strategy gan ya kukusanya watu waingie mtaani... Ni kama maandamano yamefeli hata kabla siku haijafika....
Nipo mkoan huku😃😃😃majirani zangu wote wanaamka na Nguo za fisiemu kila siku Asubuhi mpka najiuliza kuna maandamano kwel huku au yatakuwa dar tuu😃😃😃
Yote tisa sisi ndo watanzania tumesharogwa sijui