Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

Kwa hali ilivyo nchini mtu anakuambia anagongojea tarehe 29 huwa nachoka kabisa

Tungekuwa watu tunaojitambua hamasa ilikuwa ni masaa 24 kesho watu tupo road ila ndo hivyo hata hiyo tarehe 29 sijui kuna strategy gan ya kukusanya watu waingie mtaani... Ni kama maandamano yamefeli hata kabla siku haijafika....

Nipo mkoan huku😃😃😃majirani zangu wote wanaamka na Nguo za fisiemu kila siku Asubuhi mpka najiuliza kuna maandamano kwel huku au yatakuwa dar tuu😃😃😃


Yote tisa sisi ndo watanzania tumesharogwa sijui
 
Kwa hiyo mtu mpaka ajitambulishe hapa na kuweka taarifa zake rasmi, na pia ikibidi ajipige selfie akiwa karibu na policcm kwenye maeneo yenye misukosuko na kutupia humu jukwaani; ndiyo ataaminika ameshiriki!

Kwani wale wadau wanaopigwa na policcm kila wanapojitokeza kufuatilia kesi yake, ni kwamba hawapo humu jukwaani! Na wala hawajishughulishi na mitandao ya kijamii!

Utakuwa umetumwa wewe na akina Mafwele! Siyo bure
 
Back
Top Bottom