Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Binafsi, nimekuja kuona watanzania wengi na waafrika kwa ujumla tumerasimisha bullying kama kitu cha kawaida tu.
Mfano mzuri ni katika hili jukwaa,
Kuna watu wanaishi na trauma na hawajui watu wako broken to the point hawawezi mpa pongezi mtu, au mtu akija na shida akaelezea kwa uchungu.. Comment ya kwanza itakuwa meme, ya kumfanya ajisikie maumivu zaidi.
Haya hutokea katika jamii yenye maumivu, yaani kwamfano kuna uzi nilisha wahi kuleta humu, it was sensitive na baadae kuna majitu tena platinum member kabisa, linakuja lina anza kurefeer uzi wangu kujaribu kuniweka chini. Ni moja kati ya ujinga ambao nikiona mtu mzima anafanya naona upstairs hayuko sawa.
Sasa unakaa kujiuliza, ule uzi ambao huenda nilishare kwa nia njema ya kuweza kuelimisha jamii, imekuwa identity yangu?
Vivyo hivyo hata katika jamii, mfano mzazi akisha ona mtoto aliteleza kidogo katika ukuaji wake akakosea, hilo kosa litasemwa mpaka anakuwa mtu mzima.
Wamatumbi wamefanya bullying na emotional torture kama kitu cha kawaida sana. Ila moja kati ya vitu vibaya sana.
Tunaona jamii ya watu maskini, walevi, malaya, kwa sababu wali nenewa maneno machafu na wameyafanya kuwa uhalisia wao.
Bullying is illegal, tukemee hilo.
Nawatakia Jummanne yenye baraka