Watanzania na Wizi wa Miavuli, au majini ndo yanaiba?

Watanzania na Wizi wa Miavuli, au majini ndo yanaiba?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake.

Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania?

Wanaifanyia kazi gani?

Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu.

Je, kuna majini yanaiba miavuli yetu? Au ni dili kwa Wachina?

Katika vitu havidumu ni Mwavuli.
20240822_090641.jpg
 
Mwavuli ni rahisi kupotea Kwa sababu mvua ikikata TU,unauweka mahali ili baadae uurudie,baadae Sasa unapita na shughuli zingine unauacha mwavuli.
 
Back
Top Bottom