figganigga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 25,724 Reaction score 55,906 Aug 22, 2024 #1 Salaam Wakuu, Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake. Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania? Wanaifanyia kazi gani? Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu. Je, kuna majini yanaiba miavuli yetu? Au ni dili kwa Wachina? Katika vitu havidumu ni Mwavuli.
Salaam Wakuu, Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake. Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania? Wanaifanyia kazi gani? Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu. Je, kuna majini yanaiba miavuli yetu? Au ni dili kwa Wachina? Katika vitu havidumu ni Mwavuli.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 22, 2024 #2 Inategemea na unaeishi nae ila kama unaishi peke yako kuwa makini.
L Lakabu JF-Expert Member Joined May 26, 2023 Posts 511 Reaction score 1,277 Aug 22, 2024 #3 Mwavuli ni rahisi kupotea Kwa sababu mvua ikikata TU,unauweka mahali ili baadae uurudie,baadae Sasa unapita na shughuli zingine unauacha mwavuli.
Mwavuli ni rahisi kupotea Kwa sababu mvua ikikata TU,unauweka mahali ili baadae uurudie,baadae Sasa unapita na shughuli zingine unauacha mwavuli.