Huo ukaribu wa Kenya na Tanzania mnaouongelea ni myth, haupo kwani inategemea na Jiografia ya mahali unapoishi ukiuliza wachaga ndiyo watakwambia kuna ukaribu wa Tanzania na Kenya ukiuliza kwetu Rufiji mpaka Kusini mwa Tanzania hawajui Kenya wanajua Msumbiji, ukienda Mbeya, Iringa au Songea hawajui chochote kuhusu Kenya, ukienda Bukoba wako karibu zaidi na Uganda na Rwanda kuliko na Kenya haiwahusu, Kigoma wako na Kongo/Burundi hivyo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania ndiyo ina ,,ukaribu'' na Kenya hivyo msikuze haya mambo kiasi hicho
Huo ukaribu wa Kenya na Tanzania mnaouongelea ni myth, haupo kwani inategemea na Jiografia ya mahali unapoishi ukiuliza wachaga ndiyo watakwambia kuna ukaribu wa Tanzania na Kenya ukiuliza kwetu Rufiji mpaka Kusini mwa Tanzania hawajui Kenya wanajua Msumbiji, ukienda Mbeya, Iringa au Songea hawajui chochote kuhusu Kenya, ukienda Bukoba wako karibu zaidi na Uganda na Rwanda kuliko na Kenya haiwahusu, Kigoma wako na Kongo/Burundi hivyo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania ndiyo ina ,,ukaribu'' na Kenya hivyo msikuze haya mambo kiasi hicho
Munanunua kwa shida zenu na Sisi tumelijua hilo kama tupo vizur kistratejia lazima tu mutanunu kutoka kwetu kwenye ulahisi na karibu sasa haitosababisha kuogopa kuamua Jambo lolote juu yenu kwa kuhofia biashara tunajua lazima mutanunua tu hamna chaguo lingine.Tafuta mtu akusaidie kwenye takwimu za kibiashara baina yenu na majirani, unionyeshe jirani yupi ndiye soko kubwa kweu kati ya wote unaowataja. Mamia ya malori yaliyopakia hupita kuingia Kenya kila siku, hivyo wakati umevimbiwa ubwabwa sijui huko Rufiji au Usukumani ukae ukijua pana umuhimu wa diplomasia baina ya Kenya na Tanzania.
Kuna umuhimu wa Diplomasia nzuri baina ya Tanzania na Kenya kama ilivyo baina ya TZ na Uganda, Msumbiji, Zambia, Malawi, EU, Kongo, Rwanda, Burundi, AK, Misri sasa hivi Kampuni ya Misri inajenga Bwawa la kuzalisha Umeme > 2 100 MW, China, USA, Uturuki, sasa hivi Kampuni kutoka Uturuki inajenga SGR yetu, Kanada, muwekezaji mkubwa wa Dhahabu yetu Barrick ni kampuni kutoka Kanada, n.k.Tafuta mtu akusaidie kwenye takwimu za kibiashara baina yenu na majirani, unionyeshe jirani yupi ndiye soko kubwa kweu kati ya wote unaowataja. Mamia ya malori yaliyopakia hupita kuingia Kenya kila siku, hivyo wakati umevimbiwa ubwabwa sijui huko Rufiji au Usukumani ukae ukijua pana umuhimu wa diplomasia baina ya Kenya na Tanzania.
Kwani ukaribu wa nchi unategemea biashara tu?, China na USA ndio nchi zinazofanya biashara kubwa sana lakini hazipatani. Lazima pawepo na "Chemistry" kati ya hizo nchi husika, Mara nyingi kuelewana kwa nchi kunatokana na "Ideology" ya kisiasa na kiuchumi, Tanzania na Kenya zimetokea katika mirengo tofauti ya "Political and Economical Ideologies", hata zifanye biashara za Billions of $ kila mwaka, kamwe hazitokaa zielewane.Tafuta mtu akusaidie kwenye takwimu za kibiashara baina yenu na majirani, unionyeshe jirani yupi ndiye soko kubwa kweu kati ya wote unaowataja. Mamia ya malori yaliyopakia hupita kuingia Kenya kila siku, hivyo wakati umevimbiwa ubwabwa sijui huko Rufiji au Usukumani ukae ukijua pana umuhimu wa diplomasia baina ya Kenya na Tanzania.
Kuna umuhimu wa Diplomasia nzuri baina ya Tanzania na Kenya kama ilivyo baina ya TZ na Uganda, Msumbiji, Zambia, Malawi, EU, Kongo, Rwanda, Burundi, AK, Misri sasa hivi Kampuni ya Misri inajenga Bwawa la kuzalisha Umeme > 2 100 MW, China, USA, Uturuki, sasa hivi Kampuni kutoka Uturuki inajenga SGR yetu, Kanada, muwekezaji mkubwa wa Dhahabu yetu Barrick ni kampuni kutoka Kanada, n.k., ...
Wao shida yao wapate sifa kutoka kwa wazungu bcMmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu.. Ile kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Wanajisahaulisha hawa Kenya!Mmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu.. Ile kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Punguza hasira basiSisi wala hatuwataki kabisa mmeshatuumiza sana mkishirikiana na wahindi kuiba madini yetu! Hasa Tanzanite.