Watanzania naomba sana taarifa za nyie kutotupigia kura ziwe za uwongo maana nitawachukia sana ndugu zetu

Watanzania naomba sana taarifa za nyie kutotupigia kura ziwe za uwongo maana nitawachukia sana ndugu zetu

MK254,

Ukweli ni kwamba, haijawahi kutokea katika chaguzi za miaka ya karibu ambapo Kenya inagombea kiti bila ya wakenya kuwashutumu watanzania kwamba hawajawapigia kura, Serikali ya Kenya imekaa kimya bila ya kutolea maelezo hizo shutuma kama zinauhalali au hapana, ninahisi GoK inasubiri hadi GoT itakapoitaka itoe maelezo.

Hizi kura ni kura za siri, hata Serikali ya Kenya haiwezi kujua nani ameipigia kura na nani hajaipigia kura, hiyo ndiyo kanuni ya uchaguzi wa kura za siri. Ninahisi Serikali ya Kenya inapaswa kuvikemea vyombo vya habari, au watu wenye huu mchezo wa kueneza hizi taarifa kwasababu zinajenga chuki sana kati ya raia wa hizi nchi mbili.

Kenya miaka yote imekua ikiwajengea picha wananchi wake kwamba Tanzania inataka kuiujumu Kenya, hata katika suala la EPA, pamoja na maelezo mazuri sana ya kitaalamu aliyoyatoa rais mstaafu Benjamin Mkapa na kuungwa mkono na wachumi na wasomi wakubwa wa Kenya na Tanzania, kuzitaka nchi za EAC kutokubaliana na huo mkataba, bado wakenya waliendelea kusema lengo la Tanzania ni kuhujumu uchumi wa Kenya.

Yaani kama GoK itaendelea kukaa kimya bila kukanusha haya madai dhidi ya Tanzania na nchi za Jirani, chuki kati ya hizi nchi mbili itaendelea kukua kila mwaka.
 
MK254,

Kwani mulivyovunja makubaliano ya mpakani na kudharau watu wa Afya wa TZ kwamba hawajui kupima mpaka mupime tena ulikua hujui kama dharau na roho mbaya? Mwaka huu ule wimbo WACHA NA WAISOME NAMBA EEEEE, WATAISOMA NAMBA TANZANIA MBELE KWA MBELE lazima muuimbe.
 
Huo ukaribu wa Kenya na Tanzania mnaouongelea ni myth, haupo kwani inategemea na Jiografia ya mahali unapoishi ukiuliza wachaga ndiyo watakwambia kuna ukaribu wa Tanzania na Kenya ukiuliza kwetu Rufiji mpaka Kusini mwa Tanzania hawajui Kenya wanajua Msumbiji, ukienda Mbeya, Iringa au Songea hawajui chochote kuhusu Kenya, ukienda Bukoba wako karibu zaidi na Uganda na Rwanda kuliko na Kenya haiwahusu, Kigoma wako na Kongo/Burundi hivyo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania ndiyo ina ,,ukaribu'' na Kenya hivyo msikuze haya mambo kiasi hicho

Noma sana[emoji23].
 
Tafuta mtu akusaidie kwenye takwimu za kibiashara baina yenu na majirani, unionyeshe jirani yupi ndiye soko kubwa kweu kati ya wote unaowataja. Mamia ya malori yaliyopakia hupita kuingia Kenya kila siku, hivyo wakati umevimbiwa ubwabwa sijui huko Rufiji au Usukumani ukae ukijua pana umuhimu wa diplomasia baina ya Kenya na Tanzania.
 
Munanunua kwa shida zenu na Sisi tumelijua hilo kama tupo vizur kistratejia lazima tu mutanunu kutoka kwetu kwenye ulahisi na karibu sasa haitosababisha kuogopa kuamua Jambo lolote juu yenu kwa kuhofia biashara tunajua lazima mutanunua tu hamna chaguo lingine.
 
Tafuta mtu akusaidie kwenye takwimu za kibiashara baina yenu na majirani, unionyeshe jirani yupi ndiye soko kubwa kweu kati ya wote unaowataja. Mamia ya malori yaliyopakia hupita kuingia Kenya kila siku, hivyo wakati umevimbiwa ubwabwa sijui huko Rufiji au Usukumani ukae ukijua pana umuhimu wa diplomasia baina ya Kenya na Tanzania.
Kuna umuhimu wa Diplomasia nzuri baina ya Tanzania na Kenya kama ilivyo baina ya TZ na Uganda, Msumbiji, Zambia, Malawi, EU, Kongo, Rwanda, Burundi, AK, Misri sasa hivi Kampuni ya Misri inajenga Bwawa la kuzalisha Umeme > 2 100 MW, China, USA, Uturuki, sasa hivi Kampuni kutoka Uturuki inajenga SGR yetu, Kanada, muwekezaji mkubwa wa Dhahabu yetu Barrick ni kampuni kutoka Kanada, n.k.
 
Tz ni taifa huru linalo jiamulia mambo yake lenyewe. So kama wamechangua nchi nyingine ni uamuzi wao, wewe ujambe, ukasirike haisaidii kitu. Tz wanawajua vizuri wakenya kuliko taifa lolote. Labda waliogopa mnaweza kuiuza Afrika kwa mabeberu kama mlivyofanya unafiki wenu kwa S.A kwa kuwakumbatia makaburu.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Tafuta mtu akusaidie kwenye takwimu za kibiashara baina yenu na majirani, unionyeshe jirani yupi ndiye soko kubwa kweu kati ya wote unaowataja. Mamia ya malori yaliyopakia hupita kuingia Kenya kila siku, hivyo wakati umevimbiwa ubwabwa sijui huko Rufiji au Usukumani ukae ukijua pana umuhimu wa diplomasia baina ya Kenya na Tanzania.
Kwani ukaribu wa nchi unategemea biashara tu?, China na USA ndio nchi zinazofanya biashara kubwa sana lakini hazipatani. Lazima pawepo na "Chemistry" kati ya hizo nchi husika, Mara nyingi kuelewana kwa nchi kunatokana na "Ideology" ya kisiasa na kiuchumi, Tanzania na Kenya zimetokea katika mirengo tofauti ya "Political and Economical Ideologies", hata zifanye biashara za Billions of $ kila mwaka, kamwe hazitokaa zielewane.

Biashara kati ya Tanzania na Msumbiji ni ndogo Sanaa, lakini kwasababu ya " Ideology" yetu inafanaa, tunaelewana kama ndugu mapacha. Vivyo hivyo kwa Zambia, Zimbabwe, Namibia, Angola na South African
 
MK254,

Mmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu. le kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Kuna umuhimu wa Diplomasia nzuri baina ya Tanzania na Kenya kama ilivyo baina ya TZ na Uganda, Msumbiji, Zambia, Malawi, EU, Kongo, Rwanda, Burundi, AK, Misri sasa hivi Kampuni ya Misri inajenga Bwawa la kuzalisha Umeme > 2 100 MW, China, USA, Uturuki, sasa hivi Kampuni kutoka Uturuki inajenga SGR yetu, Kanada, muwekezaji mkubwa wa Dhahabu yetu Barrick ni kampuni kutoka Kanada, n.k., ...

Hakuna kwa majirani zenu ambaye takwimu zake zina umuhimu kama Kenya, wacha kuleta mambo ya waarabu hapa sijui mara Waturuki.
 
Mmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu.. Ile kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Wao shida yao wapate sifa kutoka kwa wazungu bc
 
  • Thanks
Reactions: Oii
MK254,

Sisi wala hatuwataki kabisa mmeshatuumiza sana mkishirikiana na wahindi kuiba madini yetu! Hasa Tanzanite.
 
Mmesahau ile kura ambayo mlipiga kinyume na mataifa karibia yote ya Afrika mkiunga mkono Israel kuidhinishwa na Trump kuwa nchi kamili huku ukijua fika kuwa imeikalia ardhi ya Palestine kimabavu.. Ile kura mlikuwa mnao mtazamo tofauti na nchi karibia zote za Afrika huku mpaka mkaitwa kufanya party Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Wanajisahaulisha hawa Kenya!
 
Mtuchukie hadi mvimbe hamtusaidii kitu tena mie naombea iwe kweli ili tuone hizo chuki zenu kama zitatuyumbisha kwenye chochote
 
Kenya mna visanga sana mbona hamjutii kwa mnayo tufanyia? Futa kauli yako ya utani wa jadi kwa sababu mnamaanisha kutoka moyoni, vp baada ya hili ndo mnasema yalikua utani? Kuna utani wa kuchafuana mitandaoni pasipo kuanza kwa kuwajulisha watu huu ni utani! Una marafiki Watanzania kwa sababu hawajui unaichafuaje nchi yao mtandaoni na hata kama wanajua Watanzania ni wakarimu sana wanaojali utu.

Kwa mimi sioni kama tumekosea ila ilo mnatakiwa mlichukulie kama ni onyoo kwa mnayo yatenda na mkiendelea yanaweza kufikia mbal zaidi shtukeni na mjirekebishe na muwache kuwa mikia ya mabeberu kwani hata muwatendee mema kiasi gani hawataacha kuwaona nyie ni manyani kawa wanaonyesha wazi kuwachukia Mwananchi wao wenye asili ya Africa vip kwa Waafrika walioko Africa?
 
Back
Top Bottom