Watanzania naomba sana taarifa za nyie kutotupigia kura ziwe za uwongo maana nitawachukia sana ndugu zetu

Tatizo lenu ndo hilo wakenya.. Sio kila kinachofanywa na Israel au Marekani ni sahihi, lakini kwakuwa mnaamini kwamba mtapata msaada kutoka kwa mabeberu mmekuwa mkijipendekeza kwa nguvu zote.. Hamjifunzi kutokana na historia vile ambavyo viongozi walitumika kama puppets kuuza mababu zetu.

That is your main weakness!! Sisi pamoja nakuwa marafiki wakaribu na China bado raisi aliweza kukemia vifaa na misaada ile ya barakoa tena hadharani.

Sisi hatuwezagi unafki.. Ila nyie ndugu zetu umekuwa ndo utamaduni wenu.

Kwa kawaida nchi huwa haiwezi kutambuliwa kimataifa kama haina mipaka inayo eleweka.. Sasa kitendo cha kuiruhusu Israel kama taifa na kuikataa Palestine sio busara hatakidogo.. Wale ni ndugu ilitakiwa kutumika busara sio mabavu.

Trump alihalalisha hivyo kwa maslahi yake binafsi.. Ukizingatia kabla hata hajawa Raisi trump kuna jengo alikuwa akimiliki pale mji mkuu wa Israel ambalo baadae aliliuza, sasa basi.. hata kama mmewekwa katika hilo baraza la Usalama tunachotarajia kutoka kwenu ni usaliti kwa nchi za Afrika.
Israel will forever have Jerusalem as its capital. The bible says so who am I to fight God.
 
Palestinians should never have attacked Kenya by bombing the norfolk hotel in Nairobi in 1980(First terror attack on Kenyans). That is why we can not be friends with palestine.

Of course Kenya retaliated by arresting and deporting all palestinians who were in Kenya to Israel for sentencing by Israeli government.
 
Kwani ukaribu wa nchi unategemea biashara tu?, China na USA ndio nchi zinazofanya biashara kubwa sana lakini hazipatani. Lazima pawepo na "Chemistry" kati ya hizo nchi husika, Mara nyingi kuelewana kwa nchi kunatokana na "Ideology" ya kisiasa na kiuchumi, Tanzania na Kenya zimetokea katika mirengo tofauti ya "Political and Economical Ideologies", hata zifanye biashara za Billions of $ kila mwaka, kamwe hazitokaa zielewane.

Biashara kati ya Tanzania na Msumbiji ni ndogo Sanaa, lakini kwasababu ya " Ideology" yetu inafanaa, tunaelewana kama ndugu mapacha. Vivyo hivyo kwa Zambia, Zimbabwe, Namibia, Angola na South African
Teh teh teh tunaelewana na Msumbiji ee?? Wale ndugu zetu walifukuzwa kule vipi??

Msumbiji MTz akioneakana na askari unaweza hata uwawa, Je Kenya hali iko hivo kwa Mtanzania akiwa kule??

Your hate to Kenya is next to none.. Hakuna jirani mwema kwetu kama Kenya katika wote wanaotuzunguka..
 
Hiyo imebaki kuwa kiroho.. Sio kimwili biblia imesema hata watu wamataifa wakimpokea Yesu kama bwana na mwokozi wao watakuwa taifa la Israel..

Sasa hiyo Nchi inayojiita Israel sahii inamtambua Yesu au dini ya Ki kristo?

Je, ukienda leo Israel watakupokea kama raia kwasababu umemkubali kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako?

Vipi kuhusu ubaguzi uliopo nchini mwao, Kuna wa kusema lolote juu ya hilo.. Kwamba wao ni bora kuliko watu wengine?
 
Israel will forever have Jerusalem as its capital. The bible says so who am I to fight God.
Hiyo imebaki kuwa kiroho.. Sio kimwili biblia imesema hata watu wamataifa wakimpokea Yesu kama bwana na mwokozi wao watakuwa taifa la Israel..

Sasa hiyo Nchi inayojiita Israel sahii inamtambua Yesu au dini ya Ki kristo?

Je, ukienda leo Israel watakupokea kama raia kwasababu umemkubali kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako?

Vipi kuhusu ubaguzi uliopo nchini mwao, Kuna wa kusema lolote juu ya hilo.. Kwamba wao ni bora kuliko watu wengine?
 
Palestinians should never have attacked Kenya by bombing the norfolk hotel in Nairobi in 1980(First terror attack on Kenyans). That is why we can not be friends with palestine.
Of course Kenya retaliated by arresting and deporting all palestinians who were in Kenya to Israel for sentencing by Israeli government.
Background:-

"In July 1976, Kenya's President Jomo Kenyatta allowed an Israel Defence Force task force to cross Kenyan airspace and refuel at Jomo Kenyatta International Airport, on its way to Entebbe International Airport in Uganda. Israel required help from an East African country for the success of its Operation Entebbe raid to extract people from a hostage crisis. Without it Israel lacked the logistical capacity to aerially refuel four to six aircraft so far from Israeli airspace. Perceived as Western interest and Israeli support, this incident led to anger from Islamic extremists."

Source:- Wikipedia

Kutokana na chanzo cha taarifa hapo juu hamuoni kama mliingilia vita isiyo wahusu ili kujipendekeza kwa Israel.. Kwenda kushambulia taifa la Afrika tena majirani zenu mkiamini mtapata future military support kutoka Israel?!
 
Hiyo imebaki kuwa kiroho.. Sio kimwili biblia imesema hata watu wamataifa wakimpokea Yesu kama bwana na mwokozi wao watakuwa taifa la Israel..

Sasa hiyo Nchi inayojiita Israel sahii inamtambua Yesu au dini ya Ki kristo?

Je, ukienda leo Israel watakupokea kama raia kwasababu umemkubali kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako?

Vipi kuhusu ubaguzi uliopo nchini mwao, Kuna wa kusema lolote juu ya hilo.. Kwamba wao ni bora kuliko watu wengine?
God does not give conditions for supporting Israel:
Genesis 27:29, "Those who curse you will be cursed, and those who bless you will be blessed.
 
Background:-

"In July 1976, Kenya's President Jomo Kenyatta allowed an Israel Defence Force task force to cross Kenyan airspace and refuel at Jomo Kenyatta International Airport, on its way to Entebbe International Airport in Uganda. Israel required help from an East African country for the success of its Operation Entebbe raid to extract people from a hostage crisis. Without it Israel lacked the logistical capacity to aerially refuel four to six aircraft so far from Israeli airspace. Perceived as Western interest and Israeli support, this incident led to anger from Islamic extremists."

Source:- Wikipedia

Kutokana na chanzo cha taarifa hapo juu hamuoni kama mliingilia vita isiyo wahusu ili kujipendekeza kwa Israel.. Kwenda kushambulia taifa la Afrika tena majirani zenu mkiamini mtapata military support kutoka Israel?!
so you want Kenya to align it's foreign policy with terrorist groups?
"In a fight between a savage and a civilized man, I will always take the side of the civilized man"
 
Background:-

"In July 1976, Kenya's President Jomo Kenyatta allowed an Israel Defence Force task force to cross Kenyan airspace and refuel at Jomo Kenyatta International Airport, on its way to Entebbe International Airport in Uganda. Israel required help from an East African country for the success of its Operation Entebbe raid to extract people from a hostage crisis. Without it Israel lacked the logistical capacity to aerially refuel four to six aircraft so far from Israeli airspace. Perceived as Western interest and Israeli support, this incident led to anger from Islamic extremists."

Source:- Wikipedia

Kutokana na chanzo cha taarifa hapo juu hamuoni kama mliingilia vita isiyo wahusu ili kujipendekeza kwa Israel.. Kwenda kushambulia taifa la Afrika tena majirani zenu mkiamini mtapata future military support kutoka Israel?!
The actual theology of Christian Zionism, also known as Biblical Zionism, supports the right of the Jewish people to return to their homeland on scriptural grounds. The biblical foundation for Christian Zionism is found in God's Covenant with Abraham. It was in this covenant that God chose Abraham to birth a nation through which He could redeem the world, and to do this He bequeathed them a land on which to exist as this chosen nation.

Christian Zionism teaches from the scriptures that God's covenant with Abraham is still valid today. There remains a national destiny over the Jewish people and her national homeland is her everlasting possession in fulfillment of God's plans and purposes for her. The New Testament scriptures not only affirm the Abrahamic covenant, but they confirm the historical mission of Israel and that Israel's gifts and calling are irrevocable
 
Ibrahim alizaa mtoto wa kwanza na mfanyakazi wake huyu nae pia ni damu yake.. Ukiachana na Isaka alitangulia Ismaili ambae baadae mama yake alifukuzwa kwa kumdharau mke halali wa Abraham..

Kupitia uzao wa Isaka ndipo tukampta Yesu.. Lakini pia kulikuwa na uzao wa Ismaili huu ndio ulizaa uislamu na hiyo ndiyo sababu kubwa ya Ibrahim kuitwa baba wa Imani.

Ndiyo maana Jerusalem kunamsikiti wa kwanza na hapohapo ndipo kuna uanzilishi wa kwanza wa ukristo.. Kwahiyo Jerusalem ilitakiwa itumike busara kugawanywa sio mabavu.
 
so you want Kenya to align it's foreign policy with terrorist groups?
"In a fight between a savage and a civilized man, I will always take the side of the civilized man"
For Kenyans you were supposed to write "In a fight between weak Man and a Strong Man, I will always take the side of a strong Man" hivyo ndivyo mlivyo hamuwezi kusema hapana hata kama mmeona mabeberu wamekosea.

That is very bad weakness. You guys you need to change, sometimes mnajisababishia tu matatizo kama hayo yaliyotokea west gate hagakupasa mpate..! Sisi pia huwa yanatokea matukio kama hayo ya kigaidi lakini huwa inatumika busara ya hali ya juu kuyakabili.. Wote tunatakiwa kujua na kuyakubali mapungufu yetu.

Lakini najua hiyo pia inaweza kuwa side effect ya pure capitalism. Mnajiunga na yule ambae mtafaidika nae kwa wakati huo.
 
Me pia siamini kama kweli tanzania tumewafanyia hivyo ndugu zetu.

FAKE NEWS.
 
Back
Top Bottom