The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Hawa hawa ambao wameanza tena kufanya utekaji kila siku??Watanzania Naombeni tuuamini huu uongozi mpya wapo serious watatufikisha nchi ya ahadi
๐๐๐๐๐๐๐ kwan huyu si alishaongoza miaka 4Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea na mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya kukabiliana na jambo hilo zito
Unakatwa na Mandingo. Tutolee upumbavu wako hapa.Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea na mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya kukabiliana na jambo hilo zito.
Kwa msilo lijua uwongozi huu utafanya makubwa na ya haki ili kutusaulisha na ku prove wrongKama Rasilimali Chache Na Nje Tunadoa Tutafikaje Hiyo Nchi Ya Ahadi
๐๐Wewe utakuwa umelipwa 1,200/=
Ule wa hoteli iliyojaa vyakula vya aina zote na wateja wake wanafia hotelini hapo kwa kukosa chakula!Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya kukabiliana na jambo hilo zito.
Member since 2015 lakini bado ina one kana hujitambuiNimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya kukabiliana na jambo hilo zito.