Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Mimi hata sijaelewa unataka nini.....!!!!!!
anauliza kwanini watu kwenye facebook wakishajua yupo ulaya wanamuuliza kuhusu maisha badala ya mambo mengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hata sijaelewa unataka nini.....!!!!!!
Au sio??Naona hata mimi nitatafuta nauli then nitaenda ulaya
nitakusindikiza airport. Ha ha ha!
mtoa mada ni limbukeni wa ulaya,ulaya ipi unayoiongelea wewe ujue siku hizi ulaya na manzese wala si mbali,najivunia kuishi Mwananyamala:washing:
kweli kabisa!mi mwenyewe nna tabia hiyo!mtu akiniambia yuko nje nampapatikia kama pesa!hata kama hatukuwahi kuzoeana sana ntajifanya kama vile tu mabeste ili anipe dili!
na hili ndilo jibu alilo nalo mtoa mada kichwani alitaka tu kusikkia wengine watasemaje!!
Hii nyekundu nimependa zaidi Mkuu. Nakumbuka jinsi Nyerere na Jomo Kenyatta walivyokuwa wanalumbana katika Facebook.Hadi kikwete ndani ya facebook,lowasa,slaa ndani ya facebook,hata nyerere alikuwemo facebook,obama ndani ya facebook,duh hawa pia watoto ....inaonekana wote washamba hata facebook hamuijuiiii,
Pia ulaya musifananishe na mbagala kabisaa,,,,,,miaka mia tanzania haitofika kiwango cha maisha ya ulaya,bongo ndo kwanza munalia na umeme ikisha munasema mbagala ulayaaa