Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Unamaanisha hatuna shukrani? Tunajua kupondea tu mema tunayofanyiwa hatuoni? Waafrika karibu wote tupo ivo mkuušHata mama samia alete nini humu wabongo ni walewale watasema yaleyale
ššš Niliyoyasema ndio haya kichaa kumuona kichaa mwenzie kichaaaKapimwe akili hauko sawa
Upo smart sana dada kuliko hata baadhi ya madume humu kazi kuimba taarabu šUnamaanisha hatuna shukrani? Tunajua kupondea tu mema tunayofanyiwa hatuoni? Waafrika karibu wote tupo ivo mkuuš
Comments zingine usiwe unareply...kuna watu wapo special humu kutibua nyongoUpo smart sana dada kuliko hata baadhi ya madume humu kazi kuimba taarabu š
Mwenye gazeti ni kichaa!
Hats yeye aliyeandika na kuchapisha gazeti anatumia 1% ya akili zake..
Yule mwamba noma tangu ajiunge Jf 2008 hajawahi kuacha kuandika kama anaandika huku anaendesha bodabodaš¤£Naona yule P-Didy wa JF amepata mshindani kwenye uandishi mbovu.
HapanaNdo unalijua leo hilo[emoji849][emoji849]
NimekupataComments zingine usiwe unareply...kuna watu wapo special humu kutibua nyongo
And insome cases ila normally less than 0.5 ya akili
Hana Smart kakamwambie drake anicheki pm.
Are you mavi?Sichuki binafsi sababu mimi pia nimo ila wabongo nyoso sana hii nchi tunawalalamikia viongozi wetu buuure ila sisi wenyewe hatuna kweli kwenye midomo tupo kusifia tuuuuuu ila hatuwezi kukipokea kitu kamweee
Hata mama samia alete nini humu wabongo ni walewale watasema yaleyale nilichojifunza nikwamba usije ukamaliza pesa zako kusema wabongo watasupport kitu bora ujinyweee coca uenjoy
Hii inchi ikibadilika niiteni mbwa niko zangu pale napiga story na drake