Watanzania ndo wana roho mbaya

Watanzania ndo wana roho mbaya

Najiuliza, hivi Kenya ndio ingepigana vita na kusaidia kuweka serikali Uganda tena mara mbili, wakati wa Obote na wakati wa Museveni. Hivi Wakenya si wangesema Uganda ni yao yote.
Wakikujibu nitag
 
Mbona huu uzi haujaletwa na mganda..sa kama waganda ndo wamesema sisi wakei tumetokea wapi kuwasemea waganda? Au ndo tunajidhihirishia utapel wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania Kenya mtaionea paa...uongozi ni wetu milele...
emoji23.png
emoji23.png
Milele?
 
Najiuliza, hivi Kenya ndio ingepigana vita na kusaidia kuweka serikali Uganda tena mara mbili, wakati wa Obote na wakati wa Museveni. Hivi Wakenya si wangesema Uganda ni yao yote.
Waje haraka sana wachukue People's republic of western Kenya na Odinga is a bonus with free spare parts for a lifetime.
 
Back
Top Bottom