WATANZANIA NI HOVYOO: TUHURUMIE MAKAMPUNI YA SIMU

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana

Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni

Bando ziendelee kupanda nakazi iendeleee, awamu ya sita oyeee , Nape oyeee,Rostam boss la Tigo oyeeeee, Mamaaa oyeeeeeeeeeee

Nchi imefunguka ni wakati wa wafanyabishara kuvuna
 
Umekula lakini?.. au ndo njaa kali hatari[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana

Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni

Bando ziendelee kupanda nakazi iendeleee, awamu ya sita oyeee , Nape oyeee,Rostam boss la Tigo oyeeeee, Mamaaa oyeeeeeeeeeee

Nchi imefunguka ni wakati wa wafanyabishara kuvuna
...Jina lako linaonyesha wewe Mwenyewe ulivyo...'Njaa Kali Sana:...Kweli, una njaa Kali Sana! Ndio maana unazungumza Hata yasiyoeleweka!
 
IMG_6571.jpg
 
kwa sasa siraha zote za shetani zimeelekezwa kwetu
 
Ukitukanwa utasema tunakuonea...HAKUNA fala hapa SI tunaumia halafu unaleta mizaha
 
Kula ushibe..shushia na Kombe la maji..alafu Rudi usome ulichokiandika...
 
Ifike mahala bando liuzwe kwa wanaojielewa tu.
Mtu kama mleta uzi ni marufuku kununua bando.
 
Vita ya ukraine imeleta matatizo mengi sana kuweni waelewa mnadhani kampuni za simu hazitumii mafuta kwenye magari yao...bando la gb 1 kwa tshs 7000 ni reasonable serikali yetu ni sikivu sana najua itawalinda wafanyabishara hawa shupavu na wazalendo kabisa
 
Bundle hata likiwa 1gb kwa 10,000 ni sawa, tatizo unanunua 1gb shs 3000 alafu in 20mins limeisha.
 
Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana

Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni

Bando ziendelee kupanda nakazi iendeleee, awamu ya sita oyeee , Nape oyeee,Rostam boss la Tigo oyeeeee, Mamaaa oyeeeeeeeeeee

Nchi imefunguka ni wakati wa wafanyabishara kuvuna
Tunaposema Tanzania ina vijana wa HOVYO huwa tunamaanisha kama huyu
 
Mimi sioni tatizo bando zikipandishwa maana yule utopolo kule magogoni alisharuhusu wafanyabiashara wapandishe.

Kwa hiyo ni wazi hata makampuni ya simu hayajasalimika. Kwani nayo yananunua mafuta kwa magari yao katika shughuli za uendeshaji na vile vile jenereta wanazotumia kuendesha mitambo umeme unapokatika.

Wacha wapandishe akina Rostam wapate hela ya kupeleka chamani labda na sisi tutapata akili na kupunguza "uchawa" wa "anaupiga mwingi".
 
Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana

Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni

Bando ziendelee kupanda nakazi iendeleee, awamu ya sita oyeee , Nape oyeee,Rostam boss la Tigo oyeeeee, Mamaaa oyeeeeeeeeeee

Nchi imefunguka ni wakati wa wafanyabishara kuvuna

Mnaoishi kwa mashemeji zenu mnatabu sana hahahah
 
Back
Top Bottom