njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #21
Uko sahihi sana, ku print vocha gharama za makaratasi zimepanda, mafuta kwenye magari yamepanda , kiuhalisia ilitakiwa GB 1 iwe tshs 7,000 ila najua kwa sababu waziri Nape na Mama samia ni wasikivu watalifanyia kazi hiloo, na pia Uncle Rostam anamiliki Tigo nina hakika litafannikiwa pia itasaidia pia umbeya kupungua mitandaoni ..kazi iendeleeeeeMimi sioni tatizo bando zikipandishwa maana yule utopolo kule magogoni alisharuhusu wafanyabiashara wapandishe.
Kwa hiyo ni wazi hata makampuni ya simu hayajasalimika. Kwani nayo yananunua mafuta kwa magari yao katika shughuli za uendeshaji na vile vile jenereta wanazotumia kuendesha mitambo umeme unapokatika.
Wacha wapandishe akina Rostam wapate hela ya kupeleka chamani labda na sisi tutapata akili na kupunguza "uchawa" wa "anaupiga mwingi".