ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji pesa na watu bila kuhoji kutaka kujua hela inaenda tumikaje basi waanachanga bila tatizo lolote
Au tunakuwa na pesa ambazo aziko kwenye mpangilio na ndio maana unakuta mtu ananunua mto wa kulalia au shuka Yuko bar anakunywa yaani je hauna ratiba kwenda shopping
Au tunakuwa na pesa ambazo aziko kwenye mpangilio na ndio maana unakuta mtu ananunua mto wa kulalia au shuka Yuko bar anakunywa yaani je hauna ratiba kwenda shopping