mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Naona we mzee unasema au "watanzania tufanye kitu" kitu gani hicho,tufanye ???Naunga mkono hoja, ushauri umepokelewa na umekubaliwa, kitakacho fuata ni utekelezaji.
P
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona we mzee unasema au "watanzania tufanye kitu" kitu gani hicho,tufanye ???Naunga mkono hoja, ushauri umepokelewa na umekubaliwa, kitakacho fuata ni utekelezaji.
P
Mkuu HAYA LAND, kwenye Tanzania, katiba ndio kila kitu, hakuna wakubwa zaidi ya katiba isipokuwa mwenye katiba ambaye ni Mtanzania.Sawa mkuu
Huko Kundini hakuna Tena chako na upo tiyari kugusa maslai ya wakubwa?
Kama ni kusema, tumesema sana, kama ni kuandika tumeandika sana, na kama ni kulia tumelia sana!. Sasa we must do something more, yaani lazima tufanye kitu zaidi ya kusema tuu, kuandika tuu na kulialia tuu, jee tufanye nini, hiyo ni subject nyingine, sasa tuko kwenye hatua ya kwanza, tutie Nia, tunuizie kufanya kitu!.Naona we mzee unasema au "watanzania tufanye kitu" kitu gani hicho,tufanye ???
Ova
Hiyo kufanya kitu,hapo tufanye kitu gani au tulianzishe pascalKama ni kusema, tumesema sana, kama ni kuandika tumeandika sana, na kama ni kulia tumelia sana!. Sasa we must do something more, yaani lazima tufanye kitu zaidi ya kusema tuu, kuandika tuu na kulialia tuu, jee tufanye nini, hiyo ni subject nyingine, sasa tuko kwenye hatua ya kwanza, tutie Nia, tunuizie kufanya kitu!.
P
Shukran 🙏Mkuu Pac the Don , naunga mkono hoja, ushauri umepokelewa na umekubaliwa, kitakacho fuata ni utekelezaji.
P
Mkuu TUJITEGEMEE , nia ndio the most powerful thing hapa duniani. Ukiweka nia ya dhati, hiyo nia inatengeneza powers of will, where there is a will, there is a wayAsante sana mleta mada naunga Mkono nuio la "Mwaka 2023 tufanye kitu". Hii inaweza kuwa na ufafanuzi wa aina mbalimbali.
Binafsi ufafanuzi wa nuio hili ni kuwa, Mwaka 2023 uwe mwaka wa kufanya kitu kitakachotuwezesha kama Taifa kuweka misingi na kuitumia kujitegemea kiuhalisia kiuchumi, kidiplomasia, kiteknolojia, kisiasa, na mengine kama haya.
Nami naungana na wote tuombeane kuingia mwaka 2023 kisha tuumalize kwa Amani, afya njema na furaha. Amen.
Mshafanya yapi na yapi hadi sasa uone njia iliyobaki ni machafuko? Kama hao wananchi wanaonekana wengi hawana huo muamko wa kuhitaji katiba mpya na kufanya ionekane chadema(chama cha siasa) ndio wanahitaji katiba mpya kwa hali hiyo ndio unasema kufanyike machafuko? Wenye kufanya hayo machafuko kwa lengo la kupata katika mpya ni akina nani?Ni hivi, bila machafuko hakuna katiba mpya yenye utashi wa wananchi. Hiyo ya kupangwa na dola ndio hiyo hiyo tunayoipigia kelele kila siku.
Una miliki passports za nchi ngapi? Kuwa mkweli kwenye hili.Ni hivi, bila machafuko hakuna katiba mpya yenye utashi wa wananchi. Hiyo ya kupangwa na dola ndio hiyo hiyo tunayoipigia kelele kila siku.
Mimi ni mzalendo wa kweli wa taifa langu, na siku zote nimeonyesha uzalendo wangu kwa kutumia uwezo wangu kufanya kile ninachoweza, uwezo wangu ulikuwa ni kwenye kuandika na kutangaza tuu, hivyo nimeandika sana humu na magazetini, na nimetangaza sana kwenye TV, YouTube na mitandao ya kijamii, haijasaidia kitu kubadili lolote na chochote, sasa ndio mwaka huu naweka nia ya kufanya kitu.Ungeanza wewe mwnyw kuonyesha uzalendo wako kwa taifa lako Kwa vitendo
Hili la JM, ni sawa na ninayopitia, kuna watu wana damu ya kunguni, wanachukiwa tuu bila sababu!. Hili halikubaliki!.Kwa kupinga blah blah za rafiki yako makamba kila kukichakutukatia umeme akijitetea kwasababu zisizo na mashiko akidhani watanzania wote hatuna akili[emoji3525]
Mshafanya yapi na yapi hadi sasa uone njia iliyobaki ni machafuko? Kama hao wananchi wanaonekana wengi hawana huo muamko wa kuhitaji katiba mpya na kufanya ionekane chadema(chama cha siasa) ndio wanahitaji katiba mpya kwa hali hiyo ndio unasema kufanyike machafuko? Wenye kufanya hayo machafuko kwa lengo la kupata katika mpya ni akina nani?
Una miliki passports za nchi ngapi? Kuwa mkweli kwenye hili.
Nina wasiwasi na usemaji wako katika ukweli.Sijawahi kumiliki passport. Kwani waliofanya machafuko Kenya hadi kupata katiba mpya walikuwa na passport za nchi ngapi?
Wanabodi,
Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu, "Mwaka 2023, Tubadilike, Tufanye Kitu!"
Nimegundua sisi Watanzania, kwa jina letu maarufu la Wabongo ni watu wa maneno maneno mengi, kulalamika na na kulialia, lakini tukija kwenye matendo, Vitendo zero, sifuri, 0 nil!. Kwenye hili la Katiba, ni maneno maneno tuu, na kulia lia, ukiangalia matendo, ni hakuna kitu zaidi ya kelele!, makala ya leo ni ya swali, Jee na mwaka huu wa 2023, tuendeleze kulia lia kwa maneno maneno matupu au tubadilike tufanye vitendo, tufanye kitu, to do something, au tuendelee na maneno maneno na kulia lia tuu?.
Wengi huuanza mwaka mpya kwa kuweka malengo ya mwaka, “new year’s resolutions” kwamba mwaka huu nitafanya nini, ila katika kupanga hayo malengo, sii wengi hufanya mapitio ya mwaka ulioisha, walipanga kufanya nini, wametekeleza nini, wamefanikiwa nini na wamwkwama nini, ili baadhi yay ale malengo ya mwaka uliopita, ambayo hayakufanikiwa, yabebebwe katika mwaka unaofuata, au kama hayabebebi yafutwe, na sio kila mwaka unakuja na malengo mapya, mwisho wa mwaka hufanyi tathmini wala mapitio ya mwaka ulioisha, kisha unakuja na mengine mapya!, mwisho wa siku, unakuwa huwezi kupima mafanikio yako!.
Katiba ya nchi ndio Biblia ndio Msahafu wa uendeshaji wa nchi yetu. Kama ilivyo Ikulu ni mahali patakatifu, katiba ni kitabu kitakatifu kwa nchi yetu kama vilivyo vitabu vitakatifu vya Biblia Takatifu kwa Wakrusto na Quran Tukufu kwa Waislamu. Hii ndio sheria mama ya uendeshaji wa nchi yetu.
Tofauti pekee kati ya Biblia, Msahafu na Katiba, ni Msahafu haubadiliki, katiba inaweza kubadilishwa, ila mabadiliko yoyote ya katiba, lazima yawe ni mabadiliko halali ya haki.
Katiba ndio sheria kuu kuliko zote za nchi, viongozi wetu wakiisha chaguliwa, tunawaapisha kwa mujibu wa katiba, wanaapa kuilinda na kuitetea katiba ya JMT, na ikitokea hata rais wa JMT akikiuka katiba, anaondolewa madarakani!.
Sheria yoyote ikitungwa, ikiwa ni kinyume cha katiba, sheria hiyo inahesabika ni batili “null and void”, ikitungwa sheria ambayo ni batili, kwa kwenda kinyume cha katiba ya JMT, kisha ubatili huo, ukaja kuchomekewa ndani ya katiba yetu!, huku sasa tukuiteje?, maana kunakuwa sio kuibatilisha katiba, bali ni kuinajisi katiba!.
Mwaka 2022 tuliipigia kelele najisi fulani ndani ya katiba yetu kwa kulialia na kuisema sema, hivyo tumefika hadi mwisho wa mwaka 2022 bila jambo lolote la maana kufanyika kuiondoa najisi hii, sasa tumeingia mwaka mpya wa 2023, je na mwaka huu 2023, tuendelee tuu kupiga kelele kwa kulialia na kusema sema tuu, bila kufanya tendo lolote, au mwaka huu 2023, tubadilike, badala ya kulia lia na kusema sema, twende hatua moja zaidi mbele kwa kutenda kitu? ( msiwe na wasiwasi kuhusu kutenda huku, sio kwa mikutano ya hadhara au kufanya maandamano, ni kutenda kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni).
Maneno Maneno Yangu Kuhusu Najisi Kwenye Katiba Yetu ya 1977
Sisi Watanzania tuna fani mbalimbali, kuna wenzetu kazi yao ni kufikiri na kupanga mikakati, hawa wanaitwa think tanks, kuna wenzetu ni viongozi, kazi yao ni kutuongoza, kuna wenzetu ni watendakazi, kazi yao ni kutenda kazi kwa kutumia nguvu zao, kuna wengine tukiwemo sisi waandishi wa habari na vyombo vya habari, wa kiasili, yaani “traditional media” kazi zetu kuu ni tatu, kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, hatuna kutenda!. Na tumegawanyika makundi mawili, waandishi wa habari watangazaji na vyombo vya utangazaji (broadcast media) ambao kazi yao ni kutangaza na kuongea tuu, hakuna kutenda lolote!, na waandishi wa habari wa magazeti (print media) ambao kazi yao ni kuandika tuu hakuna kutenda lolote!.
- Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki
- Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.
- Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa
- Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki Tanzania
- Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law! Kuendelea Kuitumia ni Ujinga? Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!

- Mgombea Kudhaminiwa na Chama ni Ubatili Uliochomekwa Kiubatili na Bunge Letu Ndani ya Katiba Yetu!. Tuache Ubatili Huu Uendelee Ndani ya Katiba Yetu?
- Hukumu ya Mgombea Binafsi Juni 17, 2010
- "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
- Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!. kwa vile Rais Samia ameisha jitanabaisha yeye ni kama Magufuli, hivyo anapaswa kulitimiza na hili!.
Lakini ujio wa mapinduzi ya kidigitali kwenye dunia yetu na ujio wa mitandao ya kijamii, haya makundi mawili ya vyombo vya habari, yaani broadcast media na print media, yameunganishwa na mtandao wa jamii, hivyo kule kwenye mtandao, hakuna print peke yake wala broadcast peke yake. Vyombo vya utangazaji vina kurasa zake za mitandao ya kijamii navyo sasa vinaandika, mtu unaweza kusoma, vyombo vya print, kama magazeti, navyo kwenye kurasa zake, vinatangaza, na kuweka magazeti mtandao, hivyo siku hizi, kupata habari, kuangalia TV au kusoma gazeti, sio lazima ukae nyumbani uwashe TV uangalie habari, ukijisajili tuu na mtandao fulani, wanaita ku subscribe, unaletewa tuu habari, kila inapotokea, hivyo mtu hana tena haja kusubiria taarifa ya habari saa mbili usiku, kila tukio linapotokea linatangazwa live, hivyo kufikia ule muda wa habari, kila kilichotokea, watu wanakijua, magazeti ya kesho yake, sisi tunayasoma leo, maana kwenye kurasa zao za mitandao, kila habari, inachapishwa pale pale inapotokea.
Ujio huu wa mitandao ya jamii, umemfanya sasa kila mtu kuwa ni mwandishi wa habari, kila mtu sasa ni mtangazaji, hali inayopelekea hata sisi ambao ni watangazaji wa kweli wa kusomea hii kazi, kujikuta hatufui dafu mbele ya watangazaji vijana wa kisasa kwenye mitandao ya jamii, hivyo ukiwauliza vijana wa kisasa, unamjua Pasco Mayalla?, atakuuliza, Pascal Mayalla ndio nani?, utamwambia ni mtangazaji maarufu wa kipindi cha Kiti Moto, atakuuliza kiti moto ndio nini?, naomba link yake ni kitazame nikivutiwa, nita subscribe, unajikuta huna cha kumwambia!, hivyo sisi waandishi wakongwe wa ki analojia, ili tuendelee kuwepo ni lazima tubadilike na kwenda kidigitali vinginevyo tunafutika jumla!, hivyo mwaka 2023, Pasco Mayalla nae anakuja kidigitali zaidi!.
Hivyo kwa vile mimi kazi yangu ni kuandika tuu na kutangaza tuu, nikikaa chini na kuutafakari mwaka 2022, nimeandika mangapi na kutangaza mangapi, kuhusu katiba na yapi yamefanyiwa kazi, nimejikuta nimekata shauri kwa mwaka huu 2023, ili kulisaidia taifa na kuisaidia jamii, na kulisaidia taifa, nisiishie kuandika tuu, na kutangaza tuu, ninapaswa nifanye kitu cha ziada kwa kwenda mbele zaidi kwa kufanya jambo la ziada zaidi ya kuandika tuu na kutangaza tuu.
I must do something more!. Hii something more ni nini?, naomba kwa sasa nisiiseme baada ya kumuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, hivyo just watch me closely 2023!.
Ndipo yale maneno ya rais kijana wa Marekani, John F. Kennedy aliyowaeleza Wamarekani, “usijiulize Marekani imekufanyia nini, jiulize wewe umeifanyia nini Marekani?”. Hivyo tunapoukaribisha mwaka mpya, wa 2023, kama kila mmoja wetu atajitafakari kwa kujiuliza “jee ameifanyia nini Tanzania” akijikuta hajaifanyia kitu chochote cha maana huko nyuma, basi mwaka huu wa 2023, abadilike kwa kupanga malengo yenye mipango mkakati kwa kujiuliza, “jee ataifanyia nini Tanzania?”, Inawezekana kama kila mtu atatimiza wajibu wake kikamilifu.
Mwaka huu wa 2023, tupunguze maneno maneno, na kuongea ongea sana, tupunguze maandishi kuandika andika sana, hayo maneno maneno tunayoongea ongea sana, badaya ya kuishia kuongea ongea tuu, na kuandika andika tuu, tufanye jambo, tufanye na vitendo, tutende,!. Hivyo jambo langu kuu la kwanza kwa mwaka huu 2023 ni Katiba!. Japo kuna mambo mengi muhimu ya kuyashughulikia, lakini kwangu mimi kwa mwaka huu, naona muhimu kuliko yote ni hili la Katiba!, kwenye hili la Katiba, sasa tufanye kitu, tusiishie kuongea tuu na kuandika tuu, tufanye kitu cha ziada!, jee tufanye nini?, ungana nami wiki ijayo, nikiianzisha safari ya Katiba!, “it can be done, play your part” .
Kwa heri 2022, karibu 2023
Happy New Year!, Heri ya Mwaka Mpya!.
Paskali.Nashukuru kwa bandiko lako mwanana.Nafikiri sisi Watanzania ambao tunaumizwa na utawala wa wengi,basi tuweke nuio la kuomba na kufunga Mwaka 2023 mpaka utawala wa CCM uanguke .MM nafikiri inawezekana'.
It can be done Bro! Let us play our part.Wanabodi,

Paskali.
Fanyeni mpango mpindue serikali 😂😂😂Hiyo kufanya kitu,hapo tufanye kitu gani au tulianzishe pascal
Ova
Inakuwaje tena uchochezi mkuu, na wakati ni kweli ikishindikana kudai haki kwa njia ya amani, nguvu hutumika! Au hiyo namba 4 yako hapo inahusu nini?Huu ni uchochezi!. Katiba mpya inaweza kupatikana kwa
1. Dialogue- kwa njia ya mazungumzo na kufikia consensus
2. Inaweza kupatikana kwa njia ya lobbying and advocacy
3. Inaweza kupatikana kwa pressure groups to press on issues
4. Inaweza kupatikana kwa confrontations
P
Mkuu Pascal Mayalla hili andiko bora la kufunga mwaka naliunga mkono kwa 100%, tunachotakiwa kufanya sasa 2023 tunachambua kipengele kimoja baada ya kingine cha Katiba ya Mwaka 1977 ili kuone mapungufu yaliyopo na kupendekeza namna bora ya kuendesha nchi yetu. Hii ni nchi yetu sote na wala sio nchi ya familia moja tu ya 'Watu Wazuri Hawafi' tuna kila sababu kuunganisha nguvu kupata Katiba itayosaidia kuboresha uwajibikaji wa viongozi. Ombi langu kwako JM ungeachana naye kwanza anaharibu Cv yako ni kiongozi asiyewajibika katika nafasi yake na anatumia muda mwingi kutunga visingizio vya kujitetea kwenye umma badala ya kutunga utatuzi wa matatizo ya wananchi.Wanabodi,