Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?

Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?

Wanabodi,

Nimegundua sisi Watanzania, kwa jina letu maarufu la Wabongo ni watu wa maneno maneno mengi, kulalamika sana na kulialia lia mwingi!, lakini tukija kwenye matendo, actions na kuchukua hatua, kusema ukweli kabisa, vitendo ni sifuri, zero, 0 nil!.
Paskali.
Hata kwenye hili tukio la kuuwawa kikatili huyu Mzee Kibao, watu wanasema sema sana, wanajifanya wamekasirika sana, lakini tukija kwenye kuchukua hatua ni sifuri, zero kabisa!.
P
 
Hata kwenye hili tukio la kuuwawa kikatili huyu Mzee Kibao, watu wanasema sema sana, wanajifanya wamekasirika sana, lakini tukija kwenye kuchukua hatua ni sifuri, zero kabisa!.
P
Anayepaswa kuchukua hatua ni nani ?
 
Wanabodi,
Nimegundua sisi Watanzania, kwa jina letu maarufu la Wabongo ni watu wa maneno maneno mengi, kulalamika sana na kulialia lia mwingi!, lakini tukija kwenye matendo, actions na kuchukua hatua, kusema ukweli kabisa, vitendo ni sifuri, zero, 0 nil!.
I must do something more!. Hii something more ni nini?, naomba kwa sasa nisiiseme baada ya kumuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, hivyo just watch me closely !.

Ndipo yale maneno ya rais kijana wa Marekani, John F. Kennedy aliyowaeleza Wamarekani, “usijiulize Marekani imekufanyia nini, jiulize wewe umeifanyia nini Marekani?”. Hivyo tunapoukaribisha mwaka mpya, kama kila mmoja wetu atajitafakari kwa kujiuliza “jee ameifanyia nini Tanzania” akijikuta hajaifanyia kitu chochote cha maana huko nyuma, basi mwaka huu ubadilike kwa kupanga malengo yenye mipango mkakati kwa kujiuliza, “jee ataifanyia nini Tanzania?”, Inawezekana kama kila mtu atatimiza wajibu wake kikamilifu.

Mwaka huu, tupunguze maneno maneno, na kuongea ongea sana, tupunguze maandishi kuandika andika sana, hayo maneno maneno tunayoongea ongea sana, badaya ya kuishia kuongea ongea tuu, na kuandika andika tuu, tufanye jambo, tufanye na vitendo, tutende,!. Hivyo jambo langu kuu la kwanza kwa mwaka huu ni Katiba!. Japo kuna mambo mengi muhimu ya kuyashughulikia, lakini kwangu mimi kwa mwaka huu, naona muhimu kuliko yote ni hili la Katiba!, kwenye hili la Katiba, sasa tufanye kitu, tusiishie kuongea tuu na kuandika tuu, tufanye kitu cha ziada!, jee tufanye nini?, ungana nami wiki ijayo, nikiianzisha safari ya Katiba!, “it can be done, play your part” .
Kwa heri, karibu
Happy New Year!, Heri ya Mwaka Mpya!.
Paskali.
P
 
Back
Top Bottom