Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa,
Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania,
Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV, walitangaza hali ilivyo katika sekita ya Nishati ya Mafuta nchini kutokana na huduma hiyo kutokupatikana kule Ifakara,
Kwa mjibu wa msemaji wa Idara hiyo aliwahakikishia wananchi kuwa, Serikali inaakiba kubwa ya nishati hiyo kwa sasa, na alishangaa kivipi mafuta hayafiki Ifakara, akawahakikishia wananchi kuwa,Tanzanian haina uhaba wa mafuta na hakuna sababu ya upandaji bei kwa nishati hiyo
Leo hata wiki moja haijapita tokea kauri hiyo kutolewa, leo mafuta yamepanda na haijulikani yanaweza kuagizwa kwa njia ipi kwa sababu Dollar haipatikani! Huku ni kuwafanya wananchi kuwa ngazi ya wana ccm wachache kujilimbikizia mali kwa rushwa
Kwa nini tupate shida, wakati ni huu wa kuiondoa serikali ya ccm kwa kuinyima kura na kuwapa watu wenye uchungu na maisha ya mtanzania
Nasema hivi! Huyu jamaa anayeitwa Lissu, licha ya kupitia mambo magumu na wakati mwingine, ingelikuwa siyo upendo wa nchi yake, angelikuwa keshajikatia tamaa na Watanzania, ninahakika kwa asilimia zote, anaweza kutuvusha kabisa na kuturudishia furaha ambayo tumekuwa tukiitafuta miongo na miongo sasa!
Achilia mbali historia yake, fuatilia hotuba zake za kwenye kuelimisha watu kuhusu nchi na bandari za nchi hii, unaona kabisa ni mtu mwenye uchungu wa kweli na nchi hii
Ccm, wakumbuke hata wao tuliwapa kura kwa kuwajaribishia iwapo wanaweza, lakini kwa sasa, n8 mwananchi gani anaweza kusema wanaweza?
Ni wakati muafaka sasa wa kumpa Ikulu huyu Jamaa Tundu lissu ili kuzifurusha mchwa za ccm!