Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

Lissu hafai kuwa rais wa nchi, ungesema Mbowe ningekuelewa.
Urais unahitaji uvumilivu na busara nyingi.
 
Nchi hawapewi vichaa
 
 
Ni wakati wa CDM kuendesha nchi tumechoka na CCM!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…