game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
We jamaa ni muoga, tena sana. Unacomment kuhusu lugha aliyotumia mleta mada ili usitoe maoni yako kuhusu maji kukosekana kwenye chuo kikuu cha UDOM. Huna hamu kabisa ya kula maharage ya bure, Mr UDOM is the biggest univ. in EA? [emoji1]
That doesn’t change the fact that UDOM is the Largest Univ in East Africa,
Unashangaa UDOM wakati the whole of Nairobi next to uhuruto state house kenyans lost hope of bathing clean water till 2026? Kipindupindu na Wakenya wa Nairobi haviachani kama chupi na tako
Nairobi's water crisis likely to continue till 2026
Look, what we have done to the land of Maathai,” says Jamie, referring to the legendary Kenyan environmental activist Wangari Maathai who worked to save Nairobi