Watanzania ni Wakarimu, Nitarudi Tena ' - Busta Rhymes

Watanzania ni Wakarimu, Nitarudi Tena ' - Busta Rhymes

Labda woooooote mliopinga hapo juu mlitaka labda mchizi asemeje? Sisi kwa kukosoa hata angesema chochote tungelalamika tu, nafikiri duniani sisi ndio tunaongoza kwa kulalamika.

Sio kulalamika ndio ukweli wenyewe wakirudi kwao wanaanza kuponda kuanzia steji mpaka huduma za hotelini.
 
Back
Top Bottom