Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 643 Nov 26, 2009 #21 Nguli said: Labda woooooote mliopinga hapo juu mlitaka labda mchizi asemeje? Sisi kwa kukosoa hata angesema chochote tungelalamika tu, nafikiri duniani sisi ndio tunaongoza kwa kulalamika. Click to expand... Sio kulalamika ndio ukweli wenyewe wakirudi kwao wanaanza kuponda kuanzia steji mpaka huduma za hotelini.
Nguli said: Labda woooooote mliopinga hapo juu mlitaka labda mchizi asemeje? Sisi kwa kukosoa hata angesema chochote tungelalamika tu, nafikiri duniani sisi ndio tunaongoza kwa kulalamika. Click to expand... Sio kulalamika ndio ukweli wenyewe wakirudi kwao wanaanza kuponda kuanzia steji mpaka huduma za hotelini.