Watanzania ni wanafiki sana kutwa nzima kulia lia kwenye mitandao, ikija kutake action ni negative zero

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.

Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.

Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.

Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.

Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
 
Yupo sahihi, manyanyaso hayatakoma.Sisi ni kuongea tu maneno mengiii
 
Jinga nini..nani watoto wake waumizwe au kuuwawa wakati watoto wa lisu wako USA na Lema wako Canada. Hatudanganyiki.
 
Hii nchi we ukipata gap lolote la kupiga jipigie ukaushe usijali maumivu ya umma, ua nyani bila kumwangalia usoni.

Watz hatujitambui, hatuwezi kujiorganize kivyovyote kupambania jambo. Kundi la gen z (pekee) wa kenya ni smart a thousand times kuliko watz wote.

Hao akina Lissu wangeachana na mitz wakapambania familia zao tu.
 
Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.

Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.

Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.

Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.

Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
Mkuu kuna utofauti kati ya Kuandika na ''Kuvunjwa ubavu''
 
Kwahy ulivyokuwa keyboard warriors ulitaka nani awe field?
 
Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.

Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.

Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.

Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.

Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
acha upotoshaji gentleman,
ni wapi waTanzania walikubali hata siku kubebwa ufala kifikra na vibaka wa kisiasa humu nchini?

huwa mnajidanganya na kujipotosha wenyewe mitandaoni kwa unafiki wa kiwango cha juu sana huku kila moja wenu akijua wazi mnachokidai hata ninyi wenyewe hamkijui ndio maana mmebakia kulaumiana tu na mihemko, ghadhabu, makasiriko na matusi tu.

Kwanza mTanzania gani atakubali kupiganiwa na waropokaji wasio na nidhamu wala uelekeo bali wana kiburi na kudandia kila hoja?

hakuna haja ya kujidanganya,

tizama fedheha walizonazo watu walioumizwa leo kwa kuchochewa na vibaka wa kisiasa kufanya mambo haramu? Familia zinahuzunika kubeba mzigo wa malezi ya mlemavu wa kujitakia, lakini pia familia zina hofu ya kua maskini zaidi kwasababu huenda alieumizwa ni baba wa familia 🐒
 
Kwa speed yako hii mabwana zako wanatakiwa kukuongezea posho mara 2 zaidi
 
Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao.

Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta bila shida.

Napanga kuachana na huu ujinga wa kulia lia daily kwemye mitandao, siwezi take action bora nikae kimya kabisa kuliko kuwa mnafiki wa kujificha kwenye keybord.

Siatarajii kuendelea kuwa mnafiki wa kutype kujifanya niko nyuma ya mapambano ilihali ni muoga kuliko hata digidigi kule porini.

Huu unafiki wetu ndio unao fanya wapambanaji real waendelee kuteseka.Tumewekeza sana kwenye unafiki.
Kuyaelewa mazingira ni jambo zuri sana katika maisha haya tunayoishi.

Wenzetu huko nchi zilizoendelea kuandamana ni jambo la kawaida tu kwa sababu wanaosimamia sheria na vyombo vya ulinzi kwa kiasi kikubwa wanafuata kanuni.

Kama Nchi yako wanaosimamia kanuni ni tofauti na wanaosimamia kanuni wa! Nchi zingine basi usifanye kama wanavyofanya wananchi wa nchi hizo

Hata hapo kenya ni kwa sababu Polisi hawakuamua kukaza, wangeamua kuwakazia hao jamaa wakenya wangetulia wenyewe.

Tanzania sio kenya kwa sababu polisi wakenya sio watanzania, ulaya sio tanzania kwa sababu polisi wa ulaya sio wa Tanzania.

Hivyo basi usijaribu kufanya wanayofanya wakenya hapa Tz, usijaribu kufanya wanayoyafanya watu wa ulaya hapa Tz, utaishia kuikosesha familia ugali.

Kitu cha kwanza ni Usalama wako wewe na familia yako,hayo mengine ni ziada ambazo hazina ulazima wowote.
 
jikite kwenye hoja bila mihemko wala mihemko gentleman 🐒
Nipo kwenye mada wala sijatoka nje gentlewoman.

Mada inazungumzia unafiki wetu watanzania, nawe mnafiki mmojawapo umeukemea unafiki wa wapinzani kinafiki huku ukijitia kutokufahamu yanayoendelea chini ya mabwana zako. Nami nimekwambia kwa speed hii (ya unafiki uliyo nayo wakuomgezee posho mara 2. Nipo nje ya mada kiaje gentlewoman?
 
Back
Top Bottom